Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Mimi nilivyoona anaingia ikulu nilihisi phishy smell maana kama alikuwepo wakati jiwe anaanguka then how can you easly trust him just like that.!!! Sasa sijui ni netwrk gan ama kuna mwingine aliwaza kama mm??!
 
Siyo rahisi kiivyo..

Unahisi Diwani anachukiwa na kila mtu, huko huko idarani na nje ya idarani CHAWA wake hawakosekani..

Pia kumpa kesi mtu kama diwani, yule siyo kama Freeman Mbowe au Lissu.
Wabongo usiwaamini kihivyo,wanakuwa royal Kwa yule mtu mwenye nguvu Kwa wakati huo,sasa hivi hawawezi kuwa royal Kwa Diwani wakati hawana Cha kubenefit kutoka kwake
 
Sijui hua akipewa jina au ushauri hua anameza tu au anatafakari na kuuliza maswali?
Diwani amefanya kazi nzuri sana awamu ya tano. Leo hii unakuta mbowe na genge lake ndio wanataka atoke TISS na mama anakubali na kumshusha hadhi.
Uongo wa akina mbowe umekolea hadi kiongozi dhaifu wa ccm anaamini.
Ccm haijafanya kosa kuwashinda kabisa chadema kwenye uchaguzi mkuu 2020. Wananchi waliona kile kinachofanywa na ccm ya magufuli na kuipa ccm kura karibu zote.
Kazi gani nzuri?
 
Kukataa uteuzi wa Rais anajiweka ktk hatari kubwa sana, nakwakatiba hii ilivyompa Rais mamlaka wanaweza mchomekea kesi nzito akafie gereza la ukonga
Au wakamfanya kama walivyomfanya mzee Kombe, ila maccm hayana huruma na roho za watz.
 
Siku hizi Wakuu wa Usalama wameshawekwa mfukoni ..... Wanabadilishwa same as \Wakuu wa Wilaya na Mikoa.

Those days it was almost unthinkable .... mpaka wanaretire ndiyo wanatoka madarakani. Lakini this time around ndani ya miaka 5 Wakuu wa Usalama 4 .... Tatizo liko wapi!!?



Huenda sababu ya kuegemea zaidi kuwa usalama wa chama badala ya Taifa?
 
Ukitangaza umeanza kazi facebook unapata like 10 ila ukitangaza umefukuzwa unapata like 3500
 
Mbona wewe umejenga dhana isiyokuwepo kwamba kakataa uteuzi na wakati taarifa rasmi ni kwamba uteuzi wake umetenguliwa? Halafu mbona unatamani sana kutokee uasi? Maana nyuzi zako zote Zina mwelekeo huo
Mkuu !
Mtu akijiuzuru inakuwaje!
Wakati ameteuliwa siku tatu tu zilizopita?
 
Nadhani hii ya kuwatupa ubalozini ni very poor approach maana inaua ile dhana nzima ya kuwa na mabalozi competent, ndiyo maana hatupigi hatua kwa sababu balozi zinajaa wastaafu au waliotenguliwa..


Kweli kabisa!

Siku hizi zimekuwa kama vyuo vya mafunzo! [emoji848][emoji14]
 
Hana ubavu wa kukataa uteuzi. Hamna siri zozote zaajabu anazojua。kama umeme tu tunatumia wa mabwawa, panadol tunaagiza nje, hatujaanza hata kuzalisha vitu wenyewe. Hamna jambo la ajabu analojua
Nini tafsiri ya kujiuzuru baada ya uteuzi uliodumu kwa siku tatu?
 
Kukataa uteuzi wa Rais anajiweka ktk hatari kubwa sana, nakwakatiba hii ilivyompa Rais mamlaka wanaweza mchomekea kesi nzito akafie gereza la ukonga
Anaruhusiwa kwa sheria zao sema ndio sharti kuu afunge mdomo. Hivyo kwa mtu wa ngazi kama yake akikaa kimya wenye nchi wanamlinda. Kiusalama kwa siri alizo nazo kukataa au kutenguliwa ni faida kweke.
 
Tanzania mambo mengi yako overrated sana, Raisi ndiyo kila kitu hakuna cha tiss wala tess, raisi ndiyo tiss mkuu, akikufuta kakufuta hakuna kitu utafanya hakuna cha siri nyingi wala chache, ukifutwa kazi kila kitu kina seize, kumbukeni unaweza tu kufanya chochote ukiwa kazini, hata general wa Jeshi akifutwa kazi kafutwa na hakuna kitu atafanya, acheni ku overrate kila kitu, raisi ndiyo kila kitu, yeye ndiyo jeshi, ndiyo tiss na ndiyo igp, wengine wote waajiriwa tu na wakifutwa wamefutwa, period!
 
Back
Top Bottom