Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Naunga mkono hojaI wish huyu Kaganda one day awe IGP aisee...
Nimeelewa mkuuLabda ungesema katibu mkuu kiongozi but kwa hiyo aliyopewa siyo..
Wabongo usiwaamini kihivyo,wanakuwa royal Kwa yule mtu mwenye nguvu Kwa wakati huo,sasa hivi hawawezi kuwa royal Kwa Diwani wakati hawana Cha kubenefit kutoka kwakeSiyo rahisi kiivyo..
Unahisi Diwani anachukiwa na kila mtu, huko huko idarani na nje ya idarani CHAWA wake hawakosekani..
Pia kumpa kesi mtu kama diwani, yule siyo kama Freeman Mbowe au Lissu.
Naikumbuka ilikuwa kipindi cha mzee baba magu right?Kuna DC aliwahi kukataa uteuzi, nimemsahau jina tuu..
Kazi gani nzuri?Sijui hua akipewa jina au ushauri hua anameza tu au anatafakari na kuuliza maswali?
Diwani amefanya kazi nzuri sana awamu ya tano. Leo hii unakuta mbowe na genge lake ndio wanataka atoke TISS na mama anakubali na kumshusha hadhi.
Uongo wa akina mbowe umekolea hadi kiongozi dhaifu wa ccm anaamini.
Ccm haijafanya kosa kuwashinda kabisa chadema kwenye uchaguzi mkuu 2020. Wananchi waliona kile kinachofanywa na ccm ya magufuli na kuipa ccm kura karibu zote.
Au wakamfanya kama walivyomfanya mzee Kombe, ila maccm hayana huruma na roho za watz.Kukataa uteuzi wa Rais anajiweka ktk hatari kubwa sana, nakwakatiba hii ilivyompa Rais mamlaka wanaweza mchomekea kesi nzito akafie gereza la ukonga
Siku hizi Wakuu wa Usalama wameshawekwa mfukoni ..... Wanabadilishwa same as \Wakuu wa Wilaya na Mikoa.
Those days it was almost unthinkable .... mpaka wanaretire ndiyo wanatoka madarakani. Lakini this time around ndani ya miaka 5 Wakuu wa Usalama 4 .... Tatizo liko wapi!!?
Diwani hana madhara yoyote kwa SamiaKuna watu wake wakuambia maneno haya,siyo mkurugenzi wa nssf huyu.
Mahendeka ni msukuma ,safi sana
Kwani Kamishna Diwan na Igp Wambura , Nani amebobea kwenye medani za kivita ?Kama aliweza kushughulikiwa Lt Gen Imran... atakuwa Kamishna wa Polisi
Kwa kiapo chake, hawezi.Usishangae ukasikia kahama nchi
Mkuu !Mbona wewe umejenga dhana isiyokuwepo kwamba kakataa uteuzi na wakati taarifa rasmi ni kwamba uteuzi wake umetenguliwa? Halafu mbona unatamani sana kutokee uasi? Maana nyuzi zako zote Zina mwelekeo huo
Nadhani hii ya kuwatupa ubalozini ni very poor approach maana inaua ile dhana nzima ya kuwa na mabalozi competent, ndiyo maana hatupigi hatua kwa sababu balozi zinajaa wastaafu au waliotenguliwa..
Nini tafsiri ya kujiuzuru baada ya uteuzi uliodumu kwa siku tatu?Hana ubavu wa kukataa uteuzi. Hamna siri zozote zaajabu anazojua。kama umeme tu tunatumia wa mabwawa, panadol tunaagiza nje, hatujaanza hata kuzalisha vitu wenyewe. Hamna jambo la ajabu analojua
Anaruhusiwa kwa sheria zao sema ndio sharti kuu afunge mdomo. Hivyo kwa mtu wa ngazi kama yake akikaa kimya wenye nchi wanamlinda. Kiusalama kwa siri alizo nazo kukataa au kutenguliwa ni faida kweke.Kukataa uteuzi wa Rais anajiweka ktk hatari kubwa sana, nakwakatiba hii ilivyompa Rais mamlaka wanaweza mchomekea kesi nzito akafie gereza la ukonga
Said mwema nae aliwahi kukataa uteuzi tena kipindi cha magufuliKatiba ndivyo inavyosema?
Diwani sio wa kwanza kuukataa uteuzi!
Hata Chegeni pia aliukataa uteuzi wa kuwa RC.