Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.Kabla ya kutangaza teuzi nadhani rais hufanya mawasiliano na wateuliwa. Au inakuwaga suprise?
Uteuzi umetenguliwaMkuu.
Kwani jamaa kakataa uteuzi mwenyewe au mama kamtema? Kumradhi naishi analogue.
Sababu zimetajwa? Jembe alikuwa anaanika wazi sababu.Uteuzi umetenguliwa
Hili huenda likawa jibu sahihi.Diwani itakuwa kakataa demotion

Kwa jinsi Magufuli alivyokuwa nafikiri angetumia hicho kifungu kuwateua wapinzani waliokuwa wanamsumbuaHuko ubalozini unazani ana ripoti mbinguni??
Sio kila anae ondolewa ktk teuzi amemgomea Mh.
Kumgomea ni kosa la uhaini... Uhaini sio kupindua nchi pekee...
Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake
Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake
Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa aliisaliti nchi yake ya Marekani dhidi ya Mbritishi, wengine ni Vidkun Quisling, na Marshall Pe’tain.
Kisheria ukubwa wa kosa hupimwa kwa adhabu yake, kosa likiwa kubwa mtuhumiwa hutumikia adhabu kubwa vivyo hivyo kosa likiwa dogo mtuhumiwa huadhibiwa kiasi.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.
Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais. kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali, kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama kwa makosa haya na yale yaliyotajwa hapo juu mtu wa namna hiyo atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini
Aidha ifahamike kuwa kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini adhabu yake ni kifo na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.
Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya jinai dhidi ya nchi yetu.
Iwe kwa faida yako na wengine kama wewe ambao una hisi kila mtu akitenguliwa basi amekataa nafasi hiyo...
Jitahidi kusoma kwa makini kila mstali uweze kupata uelewa...
Wenzio wakina Mbowe, Lema nk walipanda ndege kutoka dar kwenda ktk sherehe mwanza kwa Magufuli, walikuwa wana elewa haya. Wangeweza kusema wana umwa lakini ndio hivyo haikuwezekana
Watu humu sijui wanakulaga maharage ya wapi muda mwingine..huyo diwani ni Askari,Sasa Askari umgome amiri mjeshi mkuu sisemi mkuu wako wa kazi alaf Bado uwepo duniani una zurula.Hana jeuri ya kumkatalia rais kwa nafasi aliyokuwa nayo. Vinginevyo atakwenda peponi
Kiukweli alimkosea heshima Diwani Athuman! Hivi unajua majukumu ya katibu mkuu wa ikulu (Mnikulu)? Yani atoke kuwa DG akasimamie usafi kweli?Mtu unaweza elewa raisi kutofikiria sana kwenye teuzi huko kwenye serikali za mitaa. Asijali sana wateule wanaleta nini mezani so it’s OK watu kama kina ‘mama totoo’, Nikki wa Pili na ghasia wengine kujikuta wameulamba.
Lakini kukosea teuzi sensitive na kuwafuta watu kazi kabla ya ata kuanza ni kielelezo tosha ‘the lady is not serious on the job’ and doesn’t understand most roles serikalini as yet anateua akiambiwa roles za watu anapangua tena huko ni ofisini kwake. Sasa huko kwenye wizara si ndio balaa katujazia vilaza wala aoni shida kisa hayamuhusu.
Nawaza tu Hata ningekuwa mm Diwani ningeshusha kofia chini maana naujuwa ukweli ambao wengi hawajuwi pale ikulu nitapotea kama alivyopotea Kijazi na siri naijuwa why nisiwe kama akina Mangula? Taifa lina majitu yana akili jamani.Diwani Athman atenguliwa ikulu.
View attachment 2469855
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
What he could have done better?Hawa wakuu wa hiki chombo miaka ya karibuni wamelambishwa sana sakafu sababu ya kutosimama kwenye msingi wa kile taasisi imepangiwa kufanya.
Wanafanya kazi kwa upepo wa wanasiasa, Mwisho wa siku zigo la misumari linawadondokea wao.
You haven't noticed trend ya utendaji wa mwenye nchi, he frustrates you kabla hajakumwaga ili ku justifyThat was likely to happen.
Wala haishangazi, Athuman angepaswa kustaafu. Siyo kushushwa cheo kiasi kile ambapo sehemu ya maelekezo atapokea kutoka kwa aliyekuwa Junior kwake.
Sio lazimaUkifikiria kafanya kosa gani ndani ya siku mbili unakosa..tuambiwe ili tujifunze
Kila kitu kiko sawa. Ni draft tu kete zinasogezwa ila wajanja waling'amua mapema.Kunakitu hakiko sawa.
Nawaza tu Hata ningekuwa mm Diwani ningeshusha kofia chini maana naujuwa ukweli ambao wengi hawajuwi pale ikulu nitapotea kama alivyopotea Kijazi na siri naijuwa why nisiwe kama akina Mangula? Taifa lina majitu yana akili jamani.
Mbona umekazania hii hoja ya sukuma gang??Unataka kusemaje Sasa? Diwani katumbuliwa kwasabb imedhihirika pasipo shaka kuwa yeye ni sukuma gang