Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Are you sure with this nonsence?

Diwani Sasa hivi aitishe press conference unazani Nini kitatokea? Dont undermine that man.

Hata uchaguzi wa 2025 akiamua asimame upande wa mpanzani wa CCM na aongea any shit Raia wataamini tu.

Once a TISS is always a TISS.
Case closed, bila magwanda na crown, hata polisi ni raia tu. Hata Mgambo anamzidi
 
Watu wajifunze kujiuzulu ni heshima tatizo wengi wanakuwaga waroho sana wa vyeo... ukiona hueleweki na mteuzi wako kaa pembeni fanya kujiajiri alishalipwa mamilioni so anayohela ya kujiajiri. Heko msuya usiyumbishweyumbishwe
 
Hahahaha, Gereza la Ukerewe. Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana
Duhhh mkuu hii umenipa ni mpya sasa sikuwahi kuipata mahali, wale jamaa wa kilo 300 ambayo ni dhahabu iliyotoka kwa mchungaji na ma hardtop? dah sikujua kabisa mkuu.
 
Tatizo hakuna usaili kabla ya teuzi.

Mamlaka ya teuzi ina fanya kazi kifalme falme.

Bosi wa TISS kakataa kwenda Ikulu kusimamia wapishi, madereva, walinzi, wasemaji incompetent wa Ikulu, ukarani wa kufungua barua za Rais, kupanga ratiba na kuratibu vishughuli vya ubwabwa Ikulu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katiba ndivyo inavyosema?

Diwani sio wa kwanza kuukataa uteuzi!

Hata Chegeni pia aliukataa uteuzi wa kuwa RC.
RC na DG wa usalama ni vitu viwili tofauti. Kumbuka huyu DG anajua mambo mengi sana. Mengine ya kheri Yakhe...na mengine ya shari
 
Hahahaha, Gereza la Ukerewe. Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana
Usimuongopee marehemu, hawezi kuja jitetea!

Baada ya PK kuona mchongo wake umedhibitiwa ikabidi njia za kidiplomasia zitumike . Huwezi jua in exchange tulipata nini.

JPM alikuwa nyuma ya pazia katika ukamataji ule, hakujali urafiki.
 
Uongo ni tusi?

Naibu IGP alikuwa Abdul rahman Kaniki, na huo utaratibu aliuleta Jk ila hayati alitengeu.
Uongo siyo tusi bali ni lugha kali, ungeweza kutumia maneno "hauko sahihi"... Kama mzazi wako akisema kitu ambacho siyo cha kweli hatuwezi kumwambia baba muongo sana wewe bali tutatumia maneno mazuri kufikisha ujumbe ule ule.
 
Fasihi haiko wazi kwa wote, mpaka uwe na akili ndiyo utaelewa sarcasm au satire iliyotumika kwenye "kutema mate". Nendeni shule UVCCM mtanishukuru baadaye
So how sarcastic and satirical your post is?
 
Utoto mwingi, hana uwezo wa kukataa teuzi yoyote ya Rais.
Wanadhani eti uteuzi unafanyika kama surprise [emoji1]
Mtu hashtukizwi, anaandaliwa na protocol zote anapewa, kama akikataa ni juu kwa juu wala nyie hamtasikia kuwa aliambiwa hiyo issue,
PALE ALITAKIWA ATOLEWE SASA NYIE KUWAZUGA , ANAPELEKWA IKULU KWA SAA 24, MNAJAA HUKO KUMBE MMEHAMISHIWA GOLI, [emoji1]
Mkurugenzi TISS , MKUU WA POLISI ,.MKUU WA MAJESHI NI WATU WA RAIS ALIYEPO ( MARA NYINGI ),
 
IGP Wambura vipi naye tutegemee atapewa uteuzi mwingine ?

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai naye atapangiwa kazi nyingine ?
Wambura ajiandae kufanya kazi nyingine ndani ya jeshi la polisi hususani kufukuzana na majambazi huko maporini, hajaonesha weledi wowote kwenye hiyo position labda ya kutokomeza panya road

Nafasi apewe kaganda yule mama mkakamavu na mweledi[emoji3061]
 
Back
Top Bottom