Katiba ya chadema inatambua uwepo wa Uhuru wa kutoa maoni na kukosoana ndani ya chama.Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua uwepo wa vyama vya siasa pamoja na mikutano ya hadhara , sasa ni vema ukamuuliza Magufuli kwanini anasigina katiba ya nchi kwa sababu za uoga ?
Ulichoandika hakieleweki!Kwaiyo na nyie mkimkosoa magufuli no wasaliti? Au nyie utamu kunoga kukosoa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua uwepo wa vyama vya siasa pamoja na mikutano ya hadhara , sasa ni vema ukamuuliza Magufuli kwanini anasigina katiba ya nchi kwa sababu za uoga ?
Nimefuatilia sana wapinzani hasa Chadema chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Mkuu;Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.
Mikutano ya Hadhara ina tija gani kama watu hawana maji?
Well , itakua na umuhimu kama serikali iliyopo haifanyi juhudi ya kuwapelekea wananchi wake maji ,hapo mikutano itakua ni mahakama ya kuwashitaki kwa wananchi kuwa waiwajibishe serikali yao. Lakini kwa serikali kama hii ya JPM inajitahidi usiku na mchana kuwapelekea wananchi huduma za jamii halafu wanatokea wapenda madaraka wanaponda na kupinga tuu yale yanayofanywa badala ya kuipa muda serikali ikamilishe hayo inayoonekana kuwa inayafanya ili uchaguzi ukifika watu warudi kwenye kunadi Sera zinazogusa maendeleo zaidi mana mambo yanayohusu binadamu na mazingira yake hayataisha Leo wala kesho mpaka atakapokuja Kristo kwa Mara ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Andiko refu lakini la kijinga sana ! Katiba ndio mwongozo wa yote yanayotendeka nchini , hata urais wa Magufuli unatokana na matakwa ya Katiba , ni ujinga wa hali ya juu mno kuidharau katiba kwa sababu zozote zile , na jambo hilo hatutalikubali kamwe hata kama gharama zake ni kifo .Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.
Mikutano ya Hadhara ina tija gani kama watu hawana maji?
Well , itakua na umuhimu kama serikali iliyopo haifanyi juhudi ya kuwapelekea wananchi wake maji ,hapo mikutano itakua ni mahakama ya kuwashitaki kwa wananchi kuwa waiwajibishe serikali yao. Lakini kwa serikali kama hii ya JPM inajitahidi usiku na mchana kuwapelekea wananchi huduma za jamii halafu wanatokea wapenda madaraka wanaponda na kupinga tuu yale yanayofanywa badala ya kuipa muda serikali ikamilishe hayo inayoonekana kuwa inayafanya ili uchaguzi ukifika watu warudi kwenye kunadi Sera zinazogusa maendeleo zaidi mana mambo yanayohusu binadamu na mazingira yake hayataisha Leo wala kesho mpaka atakapokuja Kristo kwa Mara ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una mpango wa kuhamia kwa chama cha janja janja huko ni chama cha demokrasia kinachopinga demokrasia yenyeweKumbe chadema nao ni washenzi kama washenzi wengine
Aisee bora tu tubaki na ccm ingawa nayo ni ya hovyo ila nahisi chadema ni chama cha hovyo zaid
No kukosoanization ndan ya chama?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo wao wanakosoa, wao pia walipaswa wawe tayari kukosolewa.
Hivi chadema hawalioni hilo,inawezekana vipi madiwani wa mkoa mmoja wanaondoka tu, inabidi wamchunguze huyo lema.Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama.
Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza hata Udiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa sababu Diwani lazima awe na udhamini kutoka chama cha siasa.
Ikumbukwe kuwa Juzi kupitia vyombo vya habari, Diwani Isaya alimtuhumu vikali Mbunge Godbless Lema kuwa hajitambui na hajui majukumu yake kama Mbunge, Mwenyekiti wa Kanda na Mjumbe wa Kamati Kuu ambapo imesababisha chama kudhoofika na kukimbiwa na baadhi ya Madiwani wa Jiji la Arusha.
Kufukuzwa kwa Diwani Isaya Doita kunafanya awe Diwani wa 14 katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA aliyeondoka CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Ukitaka kusoma na kuangalia video ya tuhuma unaweza kugonga Link hii:
Link > CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake
Barua ya kumvua uanachama
Video ya tuhuma kwa Godbless Lema
At Mimi mwenyewe nawashangaa
Demokrasia ina taratibu zake, ikiachwa bila kufuata taratibu itageuka vurugu, dawa ni kufuata taratibu mlizojiwekea, no more no less.Chama cha demokrasia kisichokuwa cha kidemokrasia.
CCM mnadhani umasikini ni sifa, ndio maana hili taifa halisogei, jinga sana nyie!.Madaraka kwanza halafu baadaye ndio watazungumzia matatizo ya wananchi waliowapa madaraka!
Godbless Lema wa leo ni milionea kama sio bilionea kutokana na biashara ya siasa!
Selfish politics is the order of the day!
fuata utaratibu; unakosoa au kushauri wapi, sio kuropoka tu popote, huku kuna wajinga wengi sana!.Tatizo letu ndo hilo tu.
Nazani hata JPM anaiga kwenu tabia ya ukimkosoa unakula kwenzi.
Alafu mnaamtafutia jina baya.
Zitto mlimtimua kwa kesi kama hizi yaani chama hakiitaji kukosolewa wala kushauliwa.
Yaani mnakunywa sumu CCM inaanda kaburi dawa anakufa nayo marehemu.