Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Hawa ndiyo wanademokrasia wa kweli na wote wengine ni waminyaji wa demokrasia.
 
Hazina umuhimu maana kila mmoja alikuwa na sababu zake. Cha msingi ni kuwa waliondoka kwa hiari yao na hawakufukuzwa. Na huko walikohamia wanaendelea vizuri tu na shughuli zao.

Amandla.....

Hoja yako ni nini hapa, ni kuendelea vizuri huko walipo au ni kuondoka sehemu fulani kutokana na mizengwe? Kuendelea vizuri mahali ulipoenda kuna uhusiano gani na ilipohama kwa mizengwe?
 
Kama madiwani hao wote na wabunge wananunuliwa basi chadema hampaswi kupewa nchi mtatuuza maana hata mzee wa nywele nyeupe naye aliwanunua

Muuzwe mara 2? Kuna mkataba wowote wa raslimali umewahi kuuona kwa macho?
 
Kabla hata vyama havikusajiliwa kwanza vilitengeneza Katiba zake zikapelekwa kwa msajili na kuruhusiwa kutumika , ni lazima mwanachama yeyote afuate katiba ya chama chake , vinginevyo atafutwa uanachama
Kwa nini nyie chadema hamtaki kuifuata katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania badala yake mnaenda kushirikiana na Acacia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu ni kuwa diwani wa CDM akifukuzwa uanachama kwa kukosa uadilifu, upande wa pili wa siasa unapiga kelele. Mbona kelele za kuhamia CCM kwenda kuunga mkono juhudi za rais huwa hazisikiki?
Lipi bora, kurubuni au kutimua mwanachama?
 
Kwa nini nyie chadema hamtaki kuifuata katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania badala yake mnaenda kushirikiana na Acacia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua uwepo wa vyama vya siasa pamoja na mikutano ya hadhara , sasa ni vema ukamuuliza Magufuli kwanini anasigina katiba ya nchi kwa sababu za uoga ?
 
Ni kawaida! hakuna anayeweza kufanyakazi na wachaga bhana! Ni wao kwa wao tu! Lakini najua Arusha CHADEMA itaondoka tu!
 
Ni kawaida! hakuna anayeweza kufanyakazi na wachaga bhana! Ni wao kwa wao tu! Lakini najua Arusha CHADEMA itaondoka tu!
No kweli CDM itaondoka.
Usikose usingizi kisa CDM. Kila mtu anajua yale Mlimani City wakati wa Mkutano Mkuu wa CDM yalitokana na wasiwasi wa wapinzani wao kisiasa.
Aidha, kama si woga, nini chanzo cha kuita Dar watendaji wao wote nchi nzima?
 
Mkuu yawezekana yakawepo yote hayo ila ni utovu wa nidhamu kuyaongelea kwenye vyombo badala ya Vikao halali kwa mujibu wa miongozo ya chama.
Hivyo Mh hapo ametoka nnje ya mipaka ya uhuru wa kujieleza kwa miongozo ya chama,
Na wewe Mh P...,unalijua hilo vizuri ila naona Nawe upo ki-Uunga juhudi zaidi kuliko kusimamia ukweli. umeshindwa hata kusema alipaswa ayapeleke vikaoni.
Yote ya vyote amejipa uhuru wa kutofuata utaratibu kwa kubwatuka na chama kina uhuru wa kumuwajibisha kwa Ukengemfu wake.
 
Demokrasia hiyo wanayoiimba ipo wapi?
Eti huwa wanalilia Magufuli akubali kutukanwa lakini, hawako tayari kukosolewa. UKiwaangalia wanaiga vituko vya CCM miaka ile ya chama kushika hatamu. Nao wanaiga kufukuzana. Unafukuza watu wanaotaka kuondoka wenyewe?
 
Ata kama CDm kuna matatizo kwa upeo wangu wakufikiri sidhani kama yanaweza kua makubwa kuliko matatizo ya CCM.mambo mengine yako wazi hakuna haja yakuyahubiri sana maana muda ndo utakaotoa majibu sahihi.
 
Eti huwa wanalilia MAgufuli akubali kutukanwa lakini, hawako tayari kukosolewa. UKiwaangalia wanaiga vituko vya CCM miaka ile ya chama akushika hatamu. Nao wanaiga kufukuzana. Unafukuza watu wanaotaka kuondoka wenyewe?
Waanze kutoa vibanzi machoni mwao, haiwezekani uzungumzie moshi nyumba ya jirani. Wakati kwako kunawaka moto
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kielelezo cha demokrasia nchini ni uchafuzi wa Oktoba. Ndiyo maana kurubuni madiwani, viongozi wa kuchaguliwa na wananchi!
Ya Isaya Mwita, je?
Demokrasia ni pamoja na uhuru wa kutoa maoni, kuhoji na kukosia pia. Ndiyo walikuwa wakililia hiyo, na ndiyo wimbo huo
 
Eti huwa wanalilia MAgufuli akubali kutukanwa lakini, hawako tayari kukosolewa. UKiwaangalia wanaiga vituko vya CCM miaka ile ya chama akushika hatamu. Nao wanaiga kufukuzana. Unafukuza watu wanaotaka kuondoka wenyewe?
Kufukuza watu wanao kiuka utaratibu na miongozo mliokubaliana hiyo ni demokrasia Vipi kipotezwa wakosoa Sheli-Kali nayo ni Demokrasia?
Umegundua utofauti hapo ama bado upo kibshite bashite?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kukosoa na kushauri.Hivi ukiwa ndani ya system ukaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa unatakiwa ukosoe au ushauri?.Sasa kama wewe ambaye uko ndani unayetakiwa urekebishe mambo unapokosoa adui yako nje atafanya kazi gani.Kwaiyo uyo bwana asitupe lawama kwa wengine wakati yeye ni sehemu ya tatizo.
 
Tuje kwenye uhalisia je Lema hajui kazi??? Hajui wajibu wake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…