masluphill
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 540
- 259
Kufukuza watu wanao kiuka utaratibu na miongozo mliokubaliana hiyo ni demokrasia Vipi kipotezwa wakosoa Sheli-Kali nayo ni Demokrasia?Eti huwa wanalilia MAgufuli akubali kutukanwa lakini, hawako tayari kukosolewa. UKiwaangalia wanaiga vituko vya CCM miaka ile ya chama akushika hatamu. Nao wanaiga kufukuzana. Unafukuza watu wanaotaka kuondoka wenyewe?
Walishakubaliana na diwani huyu jambo la aina hiyo? Umemsikiliza anavyoongea? Eti Diwani asiongelee Mbunge asiyejitambua. Subili Mwezi November Ndo utajua maana ya akili timamu.Kufukuza watu wanao kiuka utaratibu na miongozo mliokubaliana hiyo ni demokrasia Vipi kipotezwa wakosoa Sheli-Kali nayo ni Demokrasia?
Umegundua utofauti hapo ama bado upo kibshite bashite?
Bakhressa sio Bilionea?LEMA ANA U BILLIONAIRE GANI HASA? BAKHESA MWENYEWE NA UTAJIRI WOTE ULE BADO HAJAFIKIA U BILLIONAIRE.
Tangu lini ajue wajibu wake? Ni mtu anaishia kukariri vifungu vya Biblia na kuwasomea wapiga kura utadhani ni nabii! Ni mbunge wa wananchi. Wakristu na waislamu, FINITO!
Acha akili maandazi wewe! Demokrasia ya vyama sio kuongea hovyo mambo ya chama kama vile vilabu vya pombe.Kumbe mnawaiga CCM? Mlitakiwa kuonyesha kuwa nyie ni tofauti na kuwa kwenu kuna uhuru wa kutoa mawazo kama jina leni linavyosema. Inawezekana kabisa huyu bwana ameitisha press conference baada ya kuona huko kwenye vikao hasikilizwi. Na kama anachosema ni kweli basi mwaka huu msitafute mchawi.
Amandla....
Simama Leo hadharani ukosoe utendaji wa Dr Bashiru uone huo uwakilishi wa sijui Songwe au utendaji chini ya yule aliyebabuka ngozi wakati ule kama hutausikia redioni kwa wengine.hawa wahuni wanadai Demokrasia wakati hawawaruhusu kukosolewa
Hoja ni kuwa hawakufukuzwa. Waliondoka wenyewe.Hoja yako ni nini hapa, ni kuendelea vizuri huko walipo au ni kuondoka sehemu fulani kutokana na mizengwe? Kuendelea vizuri mahali ulipoenda kuna uhusiano gani na ilipohama kwa mizengwe?
Hoja ni kuwa hawakufukuzwa. Waliondoka wenyewe.
Amandla.....
Hata akiwa wa 100, tunakijua kinachoendelea Arusha, aende akawasalimie!Huyu atakuwa Diwani wa 14 kuondoka CHADEMA katika Jiji la Arusha!
Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema.Acha akili maandazi wewe! Demokrasia ya vyama sio kuongea hovyo mambo ya chama kama vile vilabu vya pombe.
Na sio kuiga ccm bali huo in mfano tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani barua ya kumfukuza imeeleza sababu ni kumkosoa Lema?Tatizo letu ndo hilo tu.
Nazani hata JPM anaiga kwenu tabia ya ukimkosoa unakula kwenzi.
Alafu mnaamtafutia jina baya.
Zitto mlimtimua kwa kesi kama hizi yaani chama hakiitaji kukosolewa wala kushauliwa.
Yaani mnakunywa sumu CCM inaanda kaburi dawa anakufa nayo marehemu.
Yaani, kufukuzwa kwa huyo diwani ndio iwe Chadema kinakoelekea sio kuzuri? Ujinga huo.Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema.
Huyu unaemshambulia amesema hadharani kinachomkera katika chama chake kwa sababu anaona kinakoelekea si kizuri. Kwa kufanya hivyo amekipa fursa ya kuchunguza yale anayodai na kujirekebisha kama inabidi. Au mlitaka azungumzie kwenye vilabu vya pombe ambako ndiko kuna wapiga kura wengi?
Amandla....
Kukosoa ni sehemu ya kutoa ushauri. Unakosoa halafu unatoka ushauri wa nini cha kufanya ili kuokoa jahazi. Na ndivyo alivyofanya huyu Mheshimiwa.Kuna tofauti kubwa kati ya kukosoa na kushauri.Hivi ukiwa ndani ya system ukaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa unatakiwa ukosoe au ushauri?.Sasa kama wewe ambaye uko ndani unayetakiwa urekebishe mambo unapokosoa adui yako nje atafanya kazi gani.Kwaiyo uyo bwana asitupe lawama kwa wengine wakati yeye ni sehemu ya tatizo.
Kuna set precedence. Baada ya huyu watafukuzwa wengi tu. Au wataamua kukaa kimya na kutotoa ushauri pale unapohitajika.Yaani, kufukuzwa kwa huyo diwani ndio iwe Chadema kinakoelekea sio kuzuri? Ujinga huo.
Huyo unayemtetea ametoa ushauri? Hao ni watu wa Lazaro ambaye baada ya kulambishwa alielekezwa ashawishi madiwani wengine na wanachama pia watimkie CCM. Upande wa wanachama walikwama hawakufikia matarajio, madiwani wakakubaliana naye, lakini wengine akiwemo huyo unayemtetea, wakapangwa kuanza kukitibua chama ili wavurugane ionekane Chadema Arusha imevurugika. Ni mbinu za kichovu tu hizo! Acha aondoke zake. Na ili ujue kama ni mkakati utaona jinsi mkurugenzi atakavyoshughulikia suala la kumuondolea udiwani licha ya Chadema kumuondolea udhamini!Kuna set precedence. Baada ya huyu watafukuzwa wengi tu. Au wataamua kukaa kimya na kutotoa ushauri pale unapohitajika.
Amandla.....
Sasa hamuoni kwa kumtimua namna hii ndio mnathibitisha kuwa Chadema Arusha imevurugika? Kwa vile mliishamstukia, mngejibu tuhuma zake na kumwambia kuwa sio vizuri alivyofanya. Angeendelea ndio mngemfukuza. Hapo hamna ambae angemtetea.Huyo unayemtetea ametoa ushauri? Hao ni watu wa Lazaro ambaye baada ya kulambishwa alielekezwa ashawishi madiwani wengine na wanachama pia watimkie CCM. Upande wa wanachama walikwama hawakufikia matarajio, madiwani wakakubaliana naye, lakini wengine akiwemo huyo unayemtetea, wakapangwa kuanza kukitibua chama ili wavurugane ionekane Chadema Arusha imevurugika. Ni mbinu za kichovu tu hizo! Acha aondoke zake. Na ili ujue kama ni mkakati utaona jinsi mkurugenzi atakavyoshughulikia suala la kumuondolea udiwani licha ya Chadema kumuondolea udhamini!
Ajibiwe wapi? Mm nimekuuliza umeona sababu za kufukuzwa kwenye barua yake? Ni tuhuma zipi ambazo ametoa? Ni taratibu zipi za kichama ametumia kuwasilisha tuhuma, kama unavyoziita, halafu akapuuzwa? Tangu lini mhubi kwenye chama akitimuliwa inaitwa kuwa ni chama kimevurugika?Sasa hamuoni kwa kumtimua namna hii ndio mnathibitisha kuwa Chadema Arusha imevurugika? Kwa vile mliishamstukia, mngejibu tuhuma zake na kumwambia kuwa sio vizuri alivyofanya. Angeendelea ndio mngemfukuza. Hapo hamna ambae angemtetea.
Amandla....