muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.
Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki
Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia

Sielewi ni vipi wengine wanakimbilia kufikiri inahusishwa na chama chake.
Amesikika kwenye tv akihojiwa na mkuu wa mkoa akakiri kwamba anamiliki silaha aliyopewa na "jamaa mmoja". Kisha akaongoza msafara wa mkuu wa mkoa kwenda kuifukua
Baadaye akasikika anaomba msamaha kwa wanakijiji wenzake
Swali langu ni kwa nini kazi ya upelelezi na interrogation ifanywe na mkuu wa mkoa . Kisha kwa nini tv zialikwe kuanzia kumkamata, kumhoji, kukubali kwake, na kwenda kuifukua
Kwangu mimi ilikuwa kama natazama igizo badala ya habari. Hasa RC alipokuwa ana act kama Rambo na vile alivyokuwa anasifiwa na mleta habari - Mabere Makubi