Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Lissu ashambuliwe na Mbowe Dodoma kweupe halafu serikali isitake advantage. Ben saanane hivyo hivyo. Unapohadithia habari mpya usijeingizia Na habari ambazo watu sio ngeni kwao. Kuaminika kwa habari mpya kunategemea sana Na usahihi wa habari za zamani ambazo wapokea taarifa wanazo.
 
Acha ujinga wewe kote duniani watu wanauwawa na vyombo vya ulinzi vipo sana tu tena vyenye kila kitu. Hapa jiandae wewe na mmeo kujibu tuhuma
Wakati Mbowe anafanya yote haya..Usalama wa taifa na polisi wako wapi Kama Ni hivyo basi Ni rahisi kwa mtu yeyote kufanya chochote Tanzania bila Usalama Wala polisi kujua..na hii itakuwa nchi ya ajabu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mbowe ndie anahusika kwann Sasa ccm wamemzuia Mbowe asiwaletee wachunguzi wa kimataifa.?
 
Kazi ya kutafuta ushahidi sio yangu wapo wataalam. Mimi ninasaidia uchunguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawahi yapeleka tuhuma hizi kwenye vyombo vya uchunguzi ndani,ili iwasaidie kummaliza mbowe maana for 5 yrs wametumia mbinu zote wameshindwa pa kumpatia kwann usiwape ushahidi huu
 
Mbowe kama aliuwa malipo ndio haya anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu,ndugu za hawa waliopotezwa wanalia kwa uchungu sana.ifike wakati watu wa haki za binadamu waonekane wakikemea mambo kama haya.

mbowe damu za hawa marehemu(kalma) zitazisakama kizazi chake milele.mbowe mwisho wake utakuwa mbaya sana kwa maovu anayowafanyia wenzie.mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga wewe kote duniani watu wanauwawa na vyombo vya ulinzi vipo sana tu tena vyenye kila kitu. Hapa jiandae wewe na mmeo kujibu tuhuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu matusi Moderator wanajua Cha kufanya
Kuhusu mjadala..Kama wewe wa kijijini umejua mbowe anaua watu..Usalama na polisi wanashindwaje kujua..jibu swali bila matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msomi mzima anategemea buku 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…