Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Lisu alisema na mbowe ahojiwe Ben muulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unonekana kuwa na taarifa nyeti na muhimu sana, nakushauri uzipeleke polisi ili zisaidie kumuwajibisha mbowe. Na kama huwezi basi achana na ngonjera zako. Unajishushia hadhi yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini aliwahi kuwa na heshima? Huyo alifukuzwa cdm kwa wizi wa fedha za chama

In God we Trust
 
Je wewe mtetezi huna jambo binafsi na Mbowe?
Nimetetea nini. Bandiko lako hata wanaojadili hawajalisoma vizuri. Umeandika kuwa ni hisi zako tu. Sasa kama ni hisi kwa nini tujadili hisi za mtu?

Wewe hata jina la Diwani mwenyewe hulikumbuki habari yako itakuwaje ya kweli? Halafu unaposema unasaidia uchunguzi uchunguzi gani wewe unaosaidia? Umaarufu unaoutafuta utagharimu heshima yako ndugu yangu.

Maana hata mtu akijisaidia hadharani atakuwa maarufu lakini umaarufu wenyewe utakuwa ni wa kipumbvu tu!!
 
Ukishirikisha akili utaona kitu kwa mleta hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe talipa kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaongea kinyume
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…