Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Waache habar za hisia asee. Mbowe akifanya ujinga ni lazima ukweli usemwe, siyo kupindisha tu. Haiwezekani watu wakukimbie halafu bado uwe sawa. There must be something wrong in him.
Kwani hao waliotoka wamemkimbia Mbowe? Wanamkimbiaje Mbowe??
 
Acha ujinga hakuna anaeweza kushindana na vyombo vya dola.
Ben saa nane,azroy agwanda na wengineo jiwe anajua waliko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benson Mramba,
Tunategemea ukahojiwe Polisi kwa kueneza chuki mitandaoni au kwa tuhuma za kufahamu uhalifu umetendeka lakini hujaenda Polisi

Msikilize :
ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...

 

Propaganda hizi za kichovu zilifanikiwa enzi za kina Mrema wa NCCR, Lipumba wa CUF nk. Enzi zile mlikuta kizazi bado kimelala na hakikua kinajua hizo mbinu outdated za nchi za ulaya mashariki. Sasa hivi hata mvue nguo na kutembea uchi, kizazi hiki kimeshaamka. Sana sana lile kundi la watu wasiojulikana ndio mlipe nguvu, lakini sio kwa hizi propaganda za kichovu.
 
Kama hadi wewe unanifahamu na hauko Dar wala Tanga huoni kama mimi ni maarufu tayari? Na bado unapata hata nafasi ya kusoma na kuchangia nilichoandika sitaki umaarufu zaidi ya huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…