Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Duh ,Mbowe an adulterer and a killer, tutamvumilia mpaka lini huyu? Serikali ichukue hatua na imutie nguvuni Mara moja .

Kama taifa tutakuwa watu wa ajabu sana kumuacha muuaji na mzinzi mkubwa akipunga upepo uraiani kwa mgongo wa uenyekiti wa chama kinachoendekeza mauaji kwa raia

Sent using Jamii Forums mobile app
USHAURI
Mkiisha maliza mkesha wa vigodoro, kakae nao 'wenzio' haraka, mjipange namna ya kuokoteza 'vielelezo' ili mpate cha kupeleka POLICCM, TAKUKURU, maana wimbo huu unachachuka kwa kasi kama ya rungu alilotumia Ndungai kumpiga mgombea mwenzie Chilon...
 
Tumechoshwa sasa.nchi nzima siyo serikali wala CCM na vibaraka wao kila mtu mbowe hivi mbowe vile.anaongelewa utadhani yeye ndio raisi wa nchi.ebo
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu
Nasikitika sana kuona vijana wasomi hamuwezi kujenga hoja za kimaendeleo munaishia kwenye upumbavu na ujinga ili mpate huruma za wanasiasa.
Wengi mbona tumejiajiri hatutegemei siasa na maisha yanaendelea kwanini mnajidharirisha hivi?

TUMEKUCHOKA HUNA JIPYA ZAIDI YA KULALAMIKA HAKUNA HATA USHAIDI
 
Mkuu hivi wewe ni nani?
 
Kama mpaka mda huu haujahijiwa ntashangaa!!!

Hizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz
Jibu hoja badala ya kupinga bila hoja!
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lijuakali kafanya hiyo ili kumchafua mbowe
 
Unaendelea na upuuzi wako kama kawaida yako, ukiambiwa upeleke ushahidi wa tuhuma zako panapostahili utaweza? au unadhani ushahidi ni huo umbea ulioandika hapo juu?

Tafuta kazi ya maana ufanye, wacha kuhangaikia maisha ya wengine, mental slavery ni utumwa mbaya zaidi ya wote hapa duniani, so emanticipate yourself myfriend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja yake!
 
Kweli hakuna kitu kibaya kama kuutafuta ukubwa. Dah! Sasa hata hofu ya Mungu haiko tena mioyoni mwa watu. Hivi mwanaume inakuwaje tukosane halafu nikutafutie kila nyongo iwezayo kukuua? ;
Kweli serekali hii nzuri namna hii tunaruhusu watu kujilipukia watakavyo kuhusu ushahidi mkubwa tu wa jinai halafu tunanyamaza? ? Sawa, yawezekana kuwa tunaruhusu hivyo ili kuvuruga sifa za watu fulani ila, is it good when it is done at the cost of belittling the government? ? Noo man, I say nooo.;M;
Hayo yaliyotendwa b na serekali hii chini ya uongozi wa JPM yanatosha kumthibitisha hata kwa kipofu msese. Hatuhitaji majitu yenye kiu ya kilipiza visasi kutusaidia. Aende zake na fitina zake
 
Back
Top Bottom