Diwani wa Kata ya Ngarenaro jijini Arusha ajiuzulu !

Diwani wa Kata ya Ngarenaro jijini Arusha ajiuzulu !

Tuko busy na kuwatoa makamanda walioko segerea!Huyo diwani kila la kheri huko aendako,ila swali ana kesi mahakamani? Maana watu washachungulia fursa!
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.

Akili ndogo
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.

Tena ili asione kaisadia sana cdm, kama ametoa mchango wake kwa viongozi wa cdm, aseme ni shilingi ngapi ili arudishwe.
 
Amechelewa upepo umebadilika, baba yake na wapambe wake wanavyolazimisha kuunga mkono kwa magari meusi.
 
Tuko busy na kuwatoa makamanda walioko segerea!Huyo diwani kila la kheri huko aendako,ila swali ana kesi mahakamani?Maana watu washachungulia fursa!
Ni diwani aliyehudumu miaka 10 kama mwana CDM
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.
Huyu ni rafiki mkubwa wa Ally Bananga. Rafiki yangu Ally pamoja na kiburi alichonacho namsihi sana ajitofautishe na ajiweke kama Mchadema kweli. Huyu Doita tulijua siku nyingi sana ataunga mkono juhudi.

Ally yawezekana ni Chadema damu lakini kwa mazingira haya watu lazima wamhusishe na CCM tu. Ninamshauri asibishane na watu bali ajitofautishe na marafiki zake angalau kwa muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni rafiki mkubwa wa Ally Bananga. Rafiki yangu Ally pamoja na kiburi alichonacho namsihi sana ajitofautishe na ajiweke kama Mchadema kweli. Huyu Doita tulijua siku nyingi sana ataunga mkono juhudi. Ally yawezekana ni Chadema damu lakini kwa mazingira haya watu lazima wamhusishe na CCM tu. Ninamshauri asibishane na watu bali ajitofautishe na marafiki zake angalau kwa muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ya nini?
 
..Doita si alishajiuzulu na kuunga mkono?

..how many times is he doing that?

..pia our focus and attention iko segerea.

..itabidi ajiuzulu na kuunga mkono kwa mara ya 3 ili umma upate taarifa zake.
 
Back
Top Bottom