Diwani wa Kata ya Ngarenaro jijini Arusha ajiuzulu !

Huyu ni rafiki mkubwa wa Ally Bananga. Rafiki yangu Ally pamoja na kiburi alichonacho namsihi sana ajitofautishe na ajiweke kama Mchadema kweli. Huyu Doita tulijua siku nyingi sana ataunga mkono juhudi. Ally yawezekana ni Chadema damu lakini kwa mazingira haya watu lazima wamhusishe na CCM tu. Ninamshauri asibishane na watu bali ajitofautishe na marafiki zake angalau kwa muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa haina adabu ikihamia tumboni.
 
..Doita si alishajiuzulu na kuunga mkono?

..how many times is he doing that?

..pia our focus and attention iko segerea.

..itabidi ajiuzulu na kuunga mkono kwa mara ya 3 ili umma upate taarifa zake.
Labda amekopwa anakumbushia
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.
Amechagua wakati muafaka. Nguvu ya umma inawatoa viongozi jela
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.
Wadanganye wengine mbona alishafukuzwa. Kenge we.
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.
Kuna watu wanabeza lakini ukweli huu mtaji mkubwabkwa CCM
 
Habari zinazoenea hivi sasa ni kuwa diwani machachari wa kata ya Ngarenaro Mh. Doita amejiuzulu udiwani na atajiunga na CCM.
Amesifu uchapakaji kazi wa Serikali ya Mh John Pombe Magufuli.

DSKJF ERHRUJHR IUERKHG JHGJHJHGR JHFJHFJHF UYFRIUE KJHFHKF.
 
Back
Top Bottom