Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

0CF10F13-4C50-441E-ABDC-2DE73B0F2EBF.jpeg




Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
 
Diwani alikuwa anafinyiwa kwa ndani miezi miwili, Kwa raha zake.

Ila tukumbuke hawa watoto wa Rwakatare Wana mgogoro wa mirathi, ukute Jamaa alitaka kujiweka mbali na masaibu ya dunia ndio akaamua akajifungie kwa mtoto wa kizaramo atulize kichwa, sasa kashakaa sawa kajitoa nje aendeleze mapambano.
 
Back
Top Bottom