Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Huyo jamaa si ndo yule mtoto wa marehem Getrude Rwakatale aliekua anajitambulisha kwenye msiba kuwa..

Mimi ndiye mtoto wa muheshimiwa Getrd Rwakatale naitwa Muheshimiwa Rutta Rwakatale
Kwa sasa tumekutana familia Kaka yangu Muheshimiwa ... Na dada yangu Muheshimiwa ...
Baada ya kikao waheshimiwa tutatoa ratiba kamili ya mazishi ya Muheshimiwa mama yangu

Yaan kila kitu muheshimiwa sahivi ukimuhoji utaskia.. Nilikua kwa Muheshimiwa mpenzi wangu Ashura
 
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

View attachment 2236722

Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Hivi Mutta si Ni mchungaji msaidizi Kanisa la Mlima wa Moto au walimtoa.
 
Mtoto wa kishua bilionea katekwa na mtoto wa kizaramo.

Usiombe mwanaume wa bara ukutane na wadada wa pwani.

Ukiwa na hela utajiona uko peponi

Na hela hawakumalizii maana matumizi yao ni madogo. Ukimpa laki 3 per month anaona amekuchuna kweli.. kumbe kidume una mabilioni unamiliki shule za st marys na kanisa unakusanya sadaka.

Hapo jamaa unaweza kuta ndie amemjengea nyumba tabata ya bei nafuu tu kama 20 ama 30m. Ashura Ni nyumba ndogo yake kwa miaka 10.

Mkewe akimzingua anaenda jificha tabata kwa ashura wake
 
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

View attachment 2236722

Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
🤣🤣chezeya mambo ya kufinyiwa ndani weye,,,mhaya kaleweshwa na toto la kizaramo hadi kasahau kwake
 
Muta mwenyewe wachungaji hawa bwana
Screenshot_20220524-143132.jpg

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hapana chezea Ashura Shos!![emoji23][emoji23] Kwahio alivomuona kalewa sana ndio akamfanyeje sasa Diwani wawatu??[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787]
Nipo njiani naelekea kwa Ashura kuchukua madesa, na mie nimteke mtoto wa mama mkwe, tena nae analewa ndo kabisaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo jamaa si ndo yule mtoto wa marehem Getrude Rwakatale aliekua anajitambulisha kwenye msiba kuwa..

Mimi ndiye mtoto wa muheshimiwa Getrd Rwakatale naitwa Muheshimiwa Rutta Rwakatale
Kwa sasa tumekutana familia Kaka yangu Muheshimiwa ... Na dada yangu Muheshimiwa ...
Baada ya kikao waheshimiwa tutatoa ratiba kamili ya mazishi ya Muheshimiwa mama yangu

Yaan kila kitu muheshimiwa sahivi ukimuhoji utaskia.. Nilikua kwa Muheshimiwa mpenzi wangu Ashura
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Muheshimiwa mpenzi wangu Ashura".
 
Back
Top Bottom