Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

View attachment 2236722

Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichPi
Maigizo hayataisha ndgu wamechez filamu nzur kweli...na Amer kwao iki waendelee kumpa matibabu
 
Hahaha

Kuna comment moja nlichangia uzi

Wa johnthebaptist nlisema jamaa

Yupo tbt, na inasemekana yuko na dem....anaitwa A.M

Sasa mnamjua huyo A.m ni nani???

Watu mlishindwa ngamua code humu

Ova
Ulitisha mzee
 

Attachments

  • Screenshot_2022-05-24-14-52-59-549_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2022-05-24-14-52-59-549_com.android.chrome.jpg
    81.9 KB · Views: 51
Daah yaani hawa watoto wa marehemu Mh. Dr Getrude Lwakatare ni mateso. Mirathi ni shida tupu karibu wanauana sasa. Yaani mama alikufa kabla hata ya arobaini walishaanza kuuza vitu. Kuna siku niliitiwa jumba la ghorofa huko Bunju kabla hata ya kuteua msimamizi wa mirathi. Kisa eti wanauza kuna madeni ya shule wanalipa. Tena ghorofa mil 250. Nikamwambia dalali yule hilo ni famba katafute wajinga uwapige. Na kweli ilikuwa sijui ni huyo diwani anauza maana nasikia alimtesa Sana mama yake. Aliuza Mali nyingi Sana za mama yake akiwa hai. Huenda ni laana pia.
 
Nipo njiani naelekea kwa Ashura kuchukua madesa, na mie nimteke mtoto wa mama mkwe, tena nae analewa ndo kabisaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona balaaa shos nahio mizagamuo usije ukampoteza Mtoto wawatu 😂🤣😂🤣 ?!
 
WANAWAKE WA KIISLAMU WAKO ROMANTIC SANA AISEEE.
JESHI MNGEKAA KIMYA KAMA MTU YUKO SALAMA KWA ASHURA.
 
WANAWAKE WA KIISLAMU WAKO ROMANTIC SANA AISEEE.
NANYI JESHI KAMA MTU YUKO MIKONONI SALAMA KWA ASHURA, MUNGE KAA KIMYA BANA

Hao ukijaribu kutoka kazi sana. Na hawana gharama za kwenda vacations sijui kidimbwi

Tatizo huchelewi kunogewa unajikuta unamnunulia kiwanja chanika huko unamjengea nyumba kama utani
 
Back
Top Bottom