Diwani alikuwa anafinyiwa kwa ndani miezi miwili, Kwa raha zake.
Ila tukumbuke hawa watoto wa Rwakatare Wana mgogoro wa mirathi, ukute Jamaa alitaka kujiweka mbali na masaibu ya dunia ndio akaamua akajifungie kwa mtoto wa kizaramo atulize kichwa, sasa kashakaa sawa kajitoa nje aendeleze mapambano.