Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Uyu jamaa huu udhaifu anaouonyesha ipo siku atapigwa na kitu kizito
 
Mtu mzima mwenye akili timamu anapoteaje?!
 
Acha kutetea ujinga. Mwambie anajidharilisha na kutia aibu kanisa maana yeye ndio mchungaji msaisizi wa mlima wa Moto.
Huna Akili ( Juha ) nimemtetea wapi katika hayo Maelezo yangu dhidi yake? Naomba nionyeshe nilipomtetea Mla Bwimbwi huyo maarufu Kawe na Mbezi Beach.
 
Nimependa Maandiko yanajieleza kabisa kuwa kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake

Sasa kuna wapuuzi wanasema kuvaa kikahaba sio vibaya kubwa Mungu anaangalia moyo wako Tu, ukweli ni kwamba Mungu anaangalia moyo na matendo yako.

Amekataza uzinzi lakini unavaa katika namna ya kuhamasisha uzinzi halafu unadhani utakuwa salama?

Pumbavu Sana!
 
Mke nae kachoka
 

Attachments

  • IMG-20221117-WA0005.jpg
    52.8 KB · Views: 7

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah manina wallah we konyo
 
2 Wakorintho 7:1
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…