Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

Ivi mbagala kuu na kijichi ni sehem mmoja au tofauti?
 
Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?
Ndo umeamua ukolezee kikaina siyo!!! Doh, vijana bhana!!
 
Poa
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mbona unamsimanga marehemu ?
 
Vunja mifupa kama meno bado iko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…