Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,548
.....na ndio inayowaondoa wengi!Inawezekana alipiga viagra apate value for his money.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....na ndio inayowaondoa wengi!Inawezekana alipiga viagra apate value for his money.
huku akijua kabisa hana Pumzi za Kutosha za Kuwajibika Kibaiolojia Kitandani.
RIP. Poleni sana wafiwa. Hakuna atakayeishi milele. Hata usipofanya ngono utakufa japo tujitahidi wanaume tutulie na wake zetu majumbani. Mke akikuona hali inabadilika hatokukimbia. Atatafuta namna ya kukusaidia.
Samia siyo mwenyekiti wa ccmTaarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji.
Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa na gari wakiwa na msichana usiku wa kuamkia juzi na kuchukua moja ya chumba katika nyumba hiyo.
Amesema asubuhi baada ya kuamka wakati akifanya usafi ndipo alipoukuta ufunguo wa chumba alichokuwa amekichukua diwani huyo na msichana huyo ukiwa umetupwa chini ambapo alishituka na kwenda katika chumba hicho na kukuta kikiwa kimefungwa na kilipofunguliwa walimkuta diwani huyo akiwa amefariki lakini yule msichana waliyekuwa naye hayupo.
Muhudumu huyo amesema baada ya kuona tukio hilo walitoa taarifa polisi ambao walifika na baada ya kuwahoji waliuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Chanzo: Nipashe Online
Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?
Poleni sana wana CCM wote pamoja na Mwenyekiti Taifa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa Kumpoteza Kada huyu kutokana na Uhuni ( Umalaya ) wake huku akijua kabisa hana Pumzi za Kutosha za Kuwajibika Kibaiolojia Kitandani.
Wazee wazima mnaendekeza tu Uhuni!!
Samia siyo mwenyekiti wa ccm
Viagra itawaliza wengi, wizara ya afya toeni muongozo wa namna ya kutumia hizi dawa!! Wazee wenye presha na visukari watakwisha!!
Majizi ya kura yanaanza kupukutika na bado
Ukitoka misheni unafika Mtoni kijichi kisha njia ya ng'ombe then mbagala kuuIvi mbagala kuu na kijichi ni sehem mmoja au tofauti?