MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
🤣🤣🤣Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?
Walahi nimecheka kama mazuri