TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Acha tu waishe.Viagra itawaliza wengi, wizara ya afya toeni muongozo wa namna ya kutumia hizi dawa!! Wazee wenye presha na visukari watakwisha!!
Mshahara Wa dhambi ni mauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu waishe.Viagra itawaliza wengi, wizara ya afya toeni muongozo wa namna ya kutumia hizi dawa!! Wazee wenye presha na visukari watakwisha!!
Umepiga Ramli au imekuaje?Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji.
Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa na gari wakiwa na msichana usiku wa kuamkia juzi na kuchukua moja ya chumba katika nyumba hiyo.
Amesema asubuhi baada ya kuamka wakati akifanya usafi ndipo alipoukuta ufunguo wa chumba alichokuwa amekichukua diwani huyo na msichana huyo ukiwa umetupwa chini ambapo alishituka na kwenda katika chumba hicho na kukuta kikiwa kimefungwa na kilipofunguliwa walimkuta diwani huyo akiwa amefariki lakini yule msichana waliyekuwa naye hayupo.
Muhudumu huyo amesema baada ya kuona tukio hilo walitoa taarifa polisi ambao walifika na baada ya kuwahoji waliuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Chanzo: Nipashe Online
Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?
Poleni sana wana CCM wote pamoja na Mwenyekiti Taifa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa Kumpoteza Kada huyu kutokana na Uhuni ( Umalaya ) wake huku akijua kabisa hana Pumzi za Kutosha za Kuwajibika Kibaiolojia Kitandani.
Wazee wazima mnaendekeza tu Uhuni!!
Mzee ajali kazini!!Ni aibuu kwa familia aisee. Zee zima linafia juu ya kinena! Aibu sana
Sasa kwani hupanuagi??Tuheshimiane....kapanue wewe
Napanua kama ww ndiyo..Sasa kwani hupanuagi??
Umepiga Ramli au imekuaje?
Kutoa hukumu kama wewe ndie Tabibu aliethibitisha sababu Kifo?
Nilishaondoka huko mkuu 11yrs ago..nilikuja juz mafinga pameniboa eti ...papo papo tu hata sehen za kula nzuri hakuna unapelekwa migawahani😒
Usijali nitakupeleka sehemu nzuri😘
Nitakuja kukutembela siku moja
Sasa kwani hupanuagi??
Hakika.Ibilisi at work
Ndiyo maana ya lile neno:"Aziniye na mwanamke hana akili kwan hufanya jambo la kuangamiza nafsi yake" (Mathayo 6:32).
Mungu aturehemu,wengi tumefanya dhambi za ajabu ajabu sana kwa njia ya siri,tufanye siku zetu za kuwekwa wazi hazijafika.Tuendelee kutafakari namna ya kuziepuka
Hahahhaha...kwamba mmejigawa na taratibu za kumsaka zimeanza,Haya maneno huwa nayapenda sana.Nina Mzee Mmoja jirani yangu sasa anaitafuta miaka 80 ila ana Bajeti Maalum ya Kununua Dawa za Kuongeza nguvu za Kiume Wiki mbili nyuma alizimia Gesti ila tunaomjua tukamuwahi na Kumsaidia.
Hivi ninavyoandika aliniaga leo tokea Saa 5 Asubuhi kuwa ana Demu anaenda Kumgonga na hadi Saa 2 hii ya Usiku bado hajarudi Kijiweni Kwetu na taratibu tumeanza Kujigawa katika Kumsaka huku Mimi nikipewa Jukumu la Kupitia Mochwari kadhaa Kuulizia na wengine Kuulizia katika Nyumba za Kulala Wageni.
Mtu unakaribia miaka 80 lakini bado tu unataka Kukatikiwa Viuno na Vibinti vya miaka 21 hivi huku kama si kukitafuta Kifo kwa Makusudi ni nini?
Jamani Wazee tulieni acheni Umalaya!!!!
Mbona unamtisha jamaa hivyo?Hakikisha unabeba na Condoms nyingi.
🖕Oya huu Uzi ni wa kuhusu Diwani na Upumbavu wake wa Umalaya na Kufia Kiunoni na siyo hizi Pumba zenu zingine sawa? Sijaanzisha ( sijauleta ) ili muanze kutumiana Salamu na Kukumbushana kama vile mpo Hewani Kipindi cha Salamu Radio One Stereo.
Kama mnajuana au mnatoka Kijiji Kimoja au ni Wakulima nendeni huko PM mkapeane miadi mkutane wapi ili muyajenge na mjikumbushie Maisha yenu ya huko Vijijini mlikokuzoea sawa? Tafadhali mfikishie upesi huu Ujumbe na huyo Mbwiga ( Mshamba ) Mwenzako.