Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke


Kifo kingine cha ghafla. Bila postmortem nani atajua sababu ya kifo?

Hadi tume ya mama itakapoanza kufanya kazi safari bado ndefu sana!
 
Mkuu utanijulisha Kama mkimpata
 
Kafia kifuani, ili suala la kufia kifuani lipo kisayansi zaidi, inawezekana alienda kupiga miti akiwa mgonjwa na mda ndo huo alikuwa ameupata wa kuenjoy na kimada. Possible huyu mdada alikimbia baada ya kuona mwamba kazidiwa akafa peke yake akitapatapa.
 
hii dudu ukiipatia chance unatakiwa uichape balabala,kabla yenyewe haijakuwai.pale mzee aliizidisha diko, akiamka popote pale ntamshauri mara nyingine afanye mazoezi pia apige diko tofauti tofauti ili aziipasue kabisa,
Unapofia hapo kwenye uzinzi Muumba wako utamweleza nini.. katika harakati hizi sidhani kama ibilisi alimpa nafasi ya kutubu...!!
 
Unapofia hapo kwenye uzinzi Muumba wako utamweleza nini.. katika harakati hizi sidhani kama ibilisi alimpa nafasi ya kutubu...!!
Vunja mifupa kama meno bado iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…