Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Kiranga kumbe unaelewa hiphopAnajua kucheza na lugha, halafu mara atokee msela kupitiliza, mara katokea meneja anawaeleza wenzake jinsi ya kufanya biashara ya muziki, mara katokea kawageuka wahuni anawaponda wanavuta sana, yani mda wowote anaweza kubadilika tu halafu yupo on key.
Kuna jamangu humwambii kitu kuhusu dizasta
Mimi nafuatilia tangu enzi za Afrika Bambaata, X-Clan na Sugar Hill Gang.Kiranga kumbe unaelewa hiphop
Heshima yako mkuu,sugu akatapeliwa ushindi na kwanza unit hahahaMimi nafuatilia tangu enzi za Afrika Bambaata, X-Clanna Sugar Hill Gang.
We used to chill kwa Kusaga Kijitonyamana Y-Thang na Bony Luv wakati GWM wanarekodi "Cheza Mbali na Kasheshe".
Enzi za Kim Mgomelo na Yo Rap Bonanza mpaka kwenye mashindano tumo.
Sugu anaingia mjini tumemkaribisha.
Basi tu tumekimbia viwanja vikubwa.
tatzo lake siku iz anapenda mipasho sana,,ila anajua sana jamaaaisee kwangu mm Nikki mbishi ndo real RAPPER
Huyo mwamba ni nomaaSiwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Dizasta Vina... nimemiss ngumu mazee ziwekeni basi tukaze bichwa.
Ana vina safi ila ngosha ni shidaa jamani huyu jamaa apingiki nna imani ata dizasta kwenye cm yake ringtone ni nyimbo ya ngoshani hisia zako tu mkuu zilizokusukuma kufuta nyimbo za fid q nakuhusu kuwa rapper mahili pia bado anasafar ndefu kidogo aisee.....
ila dizasta vina kwenye wimbo wa kanisa ameongea vitu muhimu kule
Mkuu umenfurahisha huyu jamaa nae kaweka vina vikali sana kwenye nyimbo ya mama mjaneP the mc unamfahamu wew
Tafuta 10 tu za zamaniDizasta anajua sana tu but iki kichwa cha ngosha the don pita mbali aisee nakushauri tafuta nyimbo zake kama 10 Ivi msikilize vizuri usipofuta za dizasta bus utakua unalazimisha dirisha kua mlango
Dizasta mkali sana, ila kumlinganisha mwana malundi na joh makini ni kosa kisheria.
Kwamba joh ni mkali kwa fid? Fid ni baba lao man. Ngosha, mwana malundi,
We mzee upande huu unanifurahisha sanaDizasta, Ghetto Ambassador, One The Incredible, Baba Malcolm, Algebra
Hawa wapo kwenye replay kwa sasa.
Yaani mimi Playlist yangu ya NGUMU Hawa jamaa wananipaga raha sana.Baba Malcolm yuko nzuri.
Huwa ananifurahisha anapopiga double decker rhymes on point.