Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 116
Aina mpya ya kupiga mziki? sijaelewa hapo
Huyu mengi huwa anatoa sana kwa jamii ila wale wanaomfanyia kazi ana wanyonga sana
Kupitia mtandao wa picha (instagram) mafuvu ameandika kuhusu kuacha kazi vituo hvyo sababu ikiwa ni agizo kutoka juu kwa aina mpya ya kupiga musiki...
Sababu nyingine ametaja kipato kidogo ambapo alikua ananunua vifaa vyake binafsi vinafanya kazi y kampuni lakini malipo yanakua kiduchu....
Amemaliza kwa kutoa shukran kwa wafanyakazi na mashabiki wake.....
All the best dj ad mafuvu unapoelekea.....
Dadadeki hawa jamaa wa east sijui wanaslogan gani..? Hawataki uwemarufuu kuzidi waoo...asa huyo regina. Mangi....(wamachame utawajua) tu...usipojiongeza umekwisha....
Kila laheri fuvu
AZAM TV kama nawaona vile wakimkaribisha mafuvu
Aina mpya ya kupiga mziki? sijaelewa hapo