Dj AD Mafuvu aacha kazi EATV / EA Radio

Dj AD Mafuvu aacha kazi EATV / EA Radio

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
374
Reaction score
116
Kupitia mtandao wa picha (instagram) mafuvu ameandika kuhusu kuacha kazi vituo hvyo sababu ikiwa ni agizo kutoka juu kwa aina mpya ya kupiga musiki...
Sababu nyingine ametaja kipato kidogo ambapo alikua ananunua vifaa vyake binafsi vinafanya kazi y kampuni lakini malipo yanakua kiduchu....
Amemaliza kwa kutoa shukran kwa wafanyakazi na mashabiki wake.....
All the best dj ad mafuvu unapoelekea.....
 
Haya bwana kila la kheri mafuvu,tutakumiss kwenye Friday night live.
 
Kashapata Dili La Maana Huyo.Angekua Bado Hajapata Inshu Yeyote Angeendelea Kuyavumilia Hayo Mapungufu.
Kila La Kheri Dj Mafuvu Nenda Kale Shavu!
 
Aina mpya ya kupiga mziki? sijaelewa hapo

Hujui maDj siku hizi wanaelekezwa mpaka namna ya kumix? Mpk Playlist wanaandaliwa.

Ata hivyo awa East Africa lazima wanamatatizo haiwezekani watu wote hao wakimbie kirahisi rahisi hivyo, mishahara ya radios ni midogo pote tu hila wao hawana fair ndio maana wanashindwa kuretain watu.
 
Daaaaa cjui nitapata wapii ladha tena km za fuvu pale east Africa radio coz jamaa anajua Sana'a.fuvuuuuuuuuuuu baby the tan table list master
 
Dadadeki hawa jamaa wa east sijui wanaslogan gani..? Hawataki uwemarufuu kuzidi waoo...asa huyo regina. Mangi....(wamachame utawajua) tu...usipojiongeza umekwisha....
Kila laheri fuvu
 
mafuvu weeeee mbwembwe zako tu kunako turn table daa au anatania???
 
Kupitia mtandao wa picha (instagram) mafuvu ameandika kuhusu kuacha kazi vituo hvyo sababu ikiwa ni agizo kutoka juu kwa aina mpya ya kupiga musiki...
Sababu nyingine ametaja kipato kidogo ambapo alikua ananunua vifaa vyake binafsi vinafanya kazi y kampuni lakini malipo yanakua kiduchu....
Amemaliza kwa kutoa shukran kwa wafanyakazi na mashabiki wake.....
All the best dj ad mafuvu unapoelekea.....

Namtakia kila la kheri lakini hii tabia ya kuwasema vibaya walio kuwa wana kuajiri si nzuri! waajiri wana kazi kubwa sana yani mtu akijiona maarufu kidogo basi anataka alipwe zaidi kuliko wengine wakati elimu hana..! Huyu bila EATV tusinge mfahamu kabisa na anatakiwa kujua hakuna wanapo lipa sana labda akajia ajiri!

Kama mlishindwa kukubaliana na waajiri wako hakuna sababu ya kuanza kuwasema vibaya unatakiwa kuondoka kwa Amani!
 
Dadadeki hawa jamaa wa east sijui wanaslogan gani..? Hawataki uwemarufuu kuzidi waoo...asa huyo regina. Mangi....(wamachame utawajua) tu...usipojiongeza umekwisha....
Kila laheri fuvu

Angekuwa Regina ni mtu mbaya wala Mafuvu asinge fanya kazi pale...tatizo tuna watangazaji na madj wakishapata umaarufu basi wanaona wanatakiwa kupigiwa magoti...Hiyo post ameifuta halafu anaomba msamaha..haya ndio matatizo ya kutenda bila kufikiri..
 
Back
Top Bottom