Dj Fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa

Lincon

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
465
Reaction score
112
Dj fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa na kati anatarajia kusaini mkataba huo na Clouds fm! Baada ya mkataba wake kuisha!
 
Kuliko watangazaji wote Afrika? Kwani kuna watangazaji wangapi Afrika na wote unajua wanalipwaje hadi useme Dj Fetty atalipwa zaidi ya hao wengine waliopo? Afrika kuna Redio ngapi kwa ufahamu wako na umeijuaje mishahara wanayolipa wafanyakazi wao?
Promo tu hizoo...!
 
Mkuu achana na hawa watu waliolewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuliko watangazaji wote Afrika? Kwani kuna watangazaji wangapi Afrika na wote unajua wanalipwaje hadi useme Dj Fetty atalipwa zaidi ya hao wengine waliopo? Afrika kuna Redio ngapi kwa ufahamu wako na umeijuaje mishahara wanayolipa wafanyakazi wao?
Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
 
atakua analipwa kwa oman riyal nini mkuu??
 
Hapo Kenya kuna mtangazaji anaitwa Maina Kageni wa Radio Classic 105 analipwa zaidi ya shilingi za kenya milioni moja na laki nane (1.800,000) sawa na shilingi milioni thelathini na sita (36,000,000) za kibongo. Huyo Fetty atalipwa zaidi ya hapo?
 
Kuliko watangazaji wote Afrika? Kwani kuna watangazaji wangapi Afrika na wote unajua wanalipwaje hadi useme Dj Fetty atalipwa zaidi ya hao wengine waliopo? Afrika kuna Redio ngapi kwa ufahamu wako na umeijuaje mishahara wanayolipa wafanyakazi wao?
Si ndio hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…