Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha fiksi mkuu...mawingu hawahawa,thubutuu.Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
[emoji23][emoji23] wordBe u.... Nothing like role model
[emoji23][emoji23]Waseme atalipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote wa Cloudz, wasihusishe ujinga wao na redio nyingine
Hiyo ni dola au umekosea unajua unajua $laki sita ni shilingi ngapi wewe nenda fb waongopee watoto wenzakoAtakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
Magu kayadhihiti maduka style ya dj fettyAnarudi tena clouds si aliondoka akawa anauza duka lake
Ukiwa muongo uwe unajua jinsi ya kutetea uongo wako kama atakuwa analipwa 15mil kwa wk ina maana kwa mwezi atakua analipwa 60mil Tsh wakati huo huo umesema atakua analipwa USD 600k kwa mwezi ambayo ni zaidi ya billion moja in Tsh. From 1bil to 60mil wapi wapi?Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
Yaani clouds hawa wamlipe mtangazaji bilion moja Na senti ela ya Tanzania wanapata matangazo gani au wao matangazo yao yatakuwa yanafika mbinguni yaani afrika sijui kama kuna MTU anakula huo mshara labda rais wa nchiDuh huo mkataba ni wa kipekee. Na hizo $ ni za Zimbabwe, ama?
magufuli unafanya mchezo ninAnarudi tena clouds si aliondoka akawa anauza duka lake
Huwa nafikiri namba nasomeshwa peke yangu tu!magufuli unafanya mchezo nin
yan kama uko bongo tunasoma wote hakuna namna aiseeHuwa nafikiri namba nasomeshwa peke yangu tu!
Kwa nifahamu mie Oman real, inazidiwa kidogo na pesa ya Kuwait......Samahani mkuu hivi oman rial ndo iko juu duniani au kuna hela ingine yenye thamani zaidi ya hapo?