Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Kazi ya utangazaji ni party time haikuzuii kufanya deal nyingine.Kipanya,B12, wana deal nyingine wanafanya licha ya kuwa ni watangazaji hapo CloudsAlijiajiri kwa kufungua duka la nguo Msasani kwenye mall, ni mfano wa Ally Masoud Kipanya alifungua KP duka la nguo Millennium Towers pale. Wote hawa wamerudi kuajiriwa upya na Clouds media kujiajiri kumewashinda!!