LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,508
Kazi ya utangazaji ni party time haikuzuii kufanya deal nyingine.Kipanya,B12, wana deal nyingine wanafanya licha ya kuwa ni watangazaji hapo Clouds
Dili nyingine zipi?
Tu-assume ni kweli wana dili,ila kama bado zinawapa wasaa wa kuja clouds kufanya vipindi bado hizo sio dili worth talking about...hawaja-take risk bado,waache kabisa wafanye biashara no matter what then they will have our respect..
Hii mambo ya kusema nina biashara ila bado unaenda kazi za kuajiriwa bado unajitetea na security,hiyo business is not worth your full time efforts,bado wewe ni mwajiriwa tuu essentially