Dj Fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa

Alijiajiri kwa kufungua duka la nguo Msasani kwenye mall, ni mfano wa Ally Masoud Kipanya alifungua KP duka la nguo Millennium Towers pale. Wote hawa wamerudi kuajiriwa upya na Clouds media kujiajiri kumewashinda!!
Kazi ya utangazaji ni party time haikuzuii kufanya deal nyingine.Kipanya,B12, wana deal nyingine wanafanya licha ya kuwa ni watangazaji hapo Clouds
 
Hiz taarfa za kizaman enz za akna Nyerere kuongea bila data na kufikilia beyond nn unaongea au kuandka mnaztoa wap ???????
@alieleta thread
 
Kazi ya utangazaji ni party time haikuzuii kufanya deal nyingine.Kipanya,B12, wana deal nyingine wanafanya licha ya kuwa ni watangazaji hapo Clouds
Sawa ni part-time, lakini alipoacha utangazaji hakulijua hilo!?
 
Hapo Kenya kuna mtangazaji anaitwa Maina Kageni wa Radio Classic 105 analipwa zaidi ya shilingi za kenya milioni moja na laki nane (1.800,000) sawa na shilingi milioni thelathini na sita (36,000,000) za kibongo. Huyo Fetty atalipwa zaidi ya hapo?
Vipi kuhusu Larry Madowo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…