Dj Fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa

Kazi ya utangazaji ni party time haikuzuii kufanya deal nyingine.Kipanya,B12, wana deal nyingine wanafanya licha ya kuwa ni watangazaji hapo Clouds

Dili nyingine zipi?

Tu-assume ni kweli wana dili,ila kama bado zinawapa wasaa wa kuja clouds kufanya vipindi bado hizo sio dili worth talking about...hawaja-take risk bado,waache kabisa wafanye biashara no matter what then they will have our respect..

Hii mambo ya kusema nina biashara ila bado unaenda kazi za kuajiriwa bado unajitetea na security,hiyo business is not worth your full time efforts,bado wewe ni mwajiriwa tuu essentially
 

Kazi ya utangazaji wa radio haikubani kama una issue nyingine unaweza kufanya.
Eddo Kumwembe anafanya kazi Mwanaspoti, Azam TV na Super Sport.Gondwe alikuwa ITV na alikuwa mhadhiri wa Tumaini iko mifano mingi kina Sauda Kilumanga, Masoud Kipanya, Dr Isack Maro,Hermy B
 
Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
Usiwachongee mawingu radio, hizo dollar laki 6 ni mapato yao yote ya miezi miwili "may be". Hawawezi kumlipa mtu mmoja mshahara kama huo. Wafanyie na hesabu za kodi za TRA. It's nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…