Eng mwang'oko
Member
- Apr 14, 2013
- 40
- 8
Zaidi ya hiyo nahudhuria sanaa pale Isumba lounge, jamaa ni mkali anagonga oldies, flashback na Rumba ya ni balaa, kuna jamaaa nilimpeleka siuu moja hatamani tena wenda sehemu nyingine hasa akihitaji kucheza oldies.This is where the party is, at isumba lounge-jollies club. Night of the legends every friday & saturday with the legend himself DJ JD aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy, DJ Young Kelvin. Come enjoy & dance to some good oldies, old school, raga, rumba, chacha and so much more. Doors open 9pm, entry 10k. Night of the Legends isumba louge is where the legends meet.
Hakuna zaidi ya bon luv.
Hakuna zaidi ya bon luv.
Hahaaaa....clouds waliaandaga shindano la dj mkali...dj J.D. aligoma kushiriki Unakijua kuwa mawingu ni was@##nge ila wakambembeleza sana na akakubali... bonny na kidogo zake,makay,steve b,mule bishoo,na wengine unaowaju...aliwabonyeza kizenji...clouds wakamchakachua eti ushindi wakampa mule...ila tuliokuwepo eneo la tukio tunajua hakuna kama J.D
Hakuna zaidi ya bon luv.
hivi Bony Luv ni wa kumlinganisha na dj JD
mbona kampitwa mbali sana
Nani yuko juu sasa....hujasomeka
DJ Venture..