Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

Jamaa alikuwa smart
Hata alipokuwa anatangaza EA RADIO
kipindi chake kilikuwa na mashabiki.
 
Nimekutana na hii kwa Fb wall paper yake;
This is where the party is, at isumba lounge-jollies club. Night of the legends every friday & saturday with the legend himself DJ JD aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy, DJ Young Kelvin. Come enjoy & dance to some good oldies, old school, raga, rumba, chacha and so much more. Doors open 9pm, entry 10k. Night of the Legends isumba louge is where the legends meet.
Zaidi ya hiyo nahudhuria sanaa pale Isumba lounge, jamaa ni mkali anagonga oldies, flashback na Rumba ya ni balaa, kuna jamaaa nilimpeleka siuu moja hatamani tena wenda sehemu nyingine hasa akihitaji kucheza oldies.

Jamaa anaujua muziki tuache utani.
If you real want enjoy kwa oldies na flashback naakushauri pale ndo mahala sahihi!
 
Hakuna zaidi ya bon luv.

Hata wakatii ule ulikazania kuwa show ya FA itaifunika show ya JIDE, maskini hujataka hata kuzugumzia tena aibu ilivyokujaa!
Bonny ujanja ujanja tu ila hamfikii John Dillinga hata kidogo. kama unajua nn DJ anatakiwa kufanya utakubali kimya kimya!
 
Hapa bongo hakuna dj kama jd huwezi kumlinganisha bonny na jd ata siku moja jd mtu mwingine ndiye aliempa jina joseph haule profesa kipindi hicho prof anajiita niga kuna madj kama steve b,dj nelly,godwin gondwe,josh,abubakar sadick hawa wote wanampa saluti jd.
 
Jamaa mkali nilikua pale jumamosi iliyopita. He still the same JD
 
Hakuna zaidi ya bon luv.

Hahaaaa....clouds waliaandaga shindano la dj mkali...dj J.D. aligoma kushiriki Unakijua kuwa mawingu ni was@##nge ila wakambembeleza sana na akakubali... bonny na kidogo zake,makay,steve b,mule bishoo,na wengine unaowaju...aliwabonyeza kizenji...clouds wakamchakachua eti ushindi wakampa mule...ila tuliokuwepo eneo la tukio tunajua hakuna kama J.D
 
he is great kwa kweli... na anajua afanye nini
wkt gani.....yaonyesha ni kitu kipo ndani yake sio cha kuiga
Same always, the best DJ in town
 
Hahaaaaa JD is talented na zaidi anaijua hiyo kazi, Bon Luv amesaidiwa tu na Radio yaa wafu otherwise kwenye game hayupo completely!
 
Radio zote unazoweza sikiliza hapa kwetu jamaa alianzisha vipindi na bado vipo vinarock...jamaa hapo kitambo Alikuwa anafanya kazi radio stations kama tatu na Alikuwa pouwa tu na maboss wote walimkubari...radio moja,east african na nyinginezo...nobody does what he is doing...
 
Hahaaaa....clouds waliaandaga shindano la dj mkali...dj J.D. aligoma kushiriki Unakijua kuwa mawingu ni was@##nge ila wakambembeleza sana na akakubali... bonny na kidogo zake,makay,steve b,mule bishoo,na wengine unaowaju...aliwabonyeza kizenji...clouds wakamchakachua eti ushindi wakampa mule...ila tuliokuwepo eneo la tukio tunajua hakuna kama J.D

I knw the scenario,
iliikuwa hv:
Clouds walitaka sana DJ JD awe DJ pale Radio ya wafu, kukawa na kutoelewana kwa JD na management ya Radio ya wafu, Management ya radio wa wafu wakaona ili kumnyong'onyesha DJ JD kwa kushirkiana na watu gani sikumbuki vema ndo wakaanda hayo mashindano, kiukweli waliokuwepo pale na wanaoujua muziki jinsi JD alivyo kuwa akicheza na turn table aisee it was amazing, huwezi ukasema Lumuliko Mengele ambaye nyinyi mnamwita Mully B alifanya kitu.

Lkn kwa sababu lengo lilikuwa kumnyong'onyesha JD ingawa kiukweli haikumkatisha tamaa DJ JD ndo kwanza alifanya mambo zaidi ya kujipatia umaarufuu zaidi.

Jamaa ni mkali tubishe aau tukubali!
 
Nilienda Isumba kama last two weeks hivi, Jamaa bado anajua hasa nilifurahi ile anavyopiga ngoma huku anaimba kidogo! Huyu jamaa akiamua kupiga ngoma unaweza kufia kwenye stage!
 
Ila bado MIC za pale Isumba Club hazitoi ile clear sound ili anapoongea iwe like those days ndani Club Bilicanus!
 
Hahaaaa....clouds waliaandaga shindano la dj mkali...dj J.D. aligoma kushiriki Unakijua kuwa mawingu ni was@##nge ila wakambembeleza sana na akakubali... bonny na kidogo zake,makay,steve b,mule bishoo,na wengine unaowaju...aliwabonyeza kizenji...clouds wakamchakachua eti ushindi wakampa mule...ila tuliokuwepo eneo la tukio tunajua hakuna kama J.D

Ila nowdays naona yuko poa na watu wa mawingu tofauti na kipindi kile paka na panya! Msanii akitaja jina lake kwenye nyimbo basi Clouds hawaipigi!
 
Back
Top Bottom