Ila nowdays naona yuko poa na watu wa mawingu tofauti na kipindi kile paka na panya! Msanii akitaja jina lake kwenye nyimbo basi Clouds hawaipigi!
Ila nowdays naona yuko poa na watu wa mawingu tofauti na kipindi kile paka na panya! Msanii akitaja jina lake kwenye nyimbo basi Clouds hawaipigi!
Mkuu mbona unalazimisha niwe kama wewe..Na wewe ndo umeleta kikohozi kingineeee!
Mkuu heshimu maoni yangu..Na wewe ndo umeleta kikohozi kingineeee!
Mkuu mbona unalazimisha niwe kama wewe..
Mkuu heshimu maoni yangu..
Basi nampenda Dj JD...si ndio unavyotaka?DJ Venture hata upange ma-DJ 20 yeye bado atakuwa wa 21!
ndo maana nakushangaa, mwenzetu wa wapi!
Basi nampenda Dj JD...si ndio unavyotaka?
Si swala kumpenda ni swala la kukubali kazi yake!
Nashukuru kama umemkubali maana ndo ukweli ulivyo!
Unabishana nae!
Muulize kama mziki anaujua kwanza!
Kwa Tz no one like John Dillinga bana!
Ndio dj pekee naweza kwenda kudance!
DJ Venture..
sukariTamu said:Basi nampenda Dj JD...si ndio unavyotaka?
Unabishana nae!
Muulize kama mziki anaujua kwanza!
Kwa Tz no one like John Dillinga bana!
Ndio dj pekee naweza kwenda kudance!
unajua watu wanashindwa kutofautisha madj wanaojitangaza majina yao sana na wale wanotangazwa kwa kazi zao,JD watu tunamjua kwa kile anachokifanya kwa mikono yake hao wengine wanajipa mapromo tu kwenye media!I knw the scenario,
iliikuwa hv:
Clouds walitaka sana DJ JD awe DJ pale Radio ya wafu, kukawa na kutoelewana kwa JD na management ya Radio ya wafu, Management ya radio wa wafu wakaona ili kumnyong'onyesha DJ JD kwa kushirkiana na watu gani sikumbuki vema ndo wakaanda hayo mashindano, kiukweli waliokuwepo pale na wanaoujua muziki jinsi JD alivyo kuwa akicheza na turn table aisee it was amazing, huwezi ukasema Lumuliko Mengele ambaye nyinyi mnamwita Mully B alifanya kitu.
Lkn kwa sababu lengo lilikuwa kumnyong'onyesha JD ingawa kiukweli haikumkatisha tamaa DJ JD ndo kwanza alifanya mambo zaidi ya kujipatia umaarufuu zaidi.
Jamaa ni mkali tubishe aau tukubali!
mkuu kipindi hicho steve b alikuwa hata hajawa dj bali alikuwa rapper,alikuwa anapiga sana simu kwenye kipindi cha weekend party nite show ijumaa na jumamosi, enzi hizo 101.4 ambayo ndio capital radio hivi sasa.Hapo alikuwa mtu mzima anakung'uta ngoma vibaya sana.Mwacheni aitwe legend tu! Wakuu mnakumbuka 'the Powerful 4' hapo mambo club palivyokuwa panachimbika?
Duh sikuwahi kujua steve B alikuwa bigwa wa salamu kama Chesco wa matunda!
ndio hivyo mkuu,steve b alikuwa hiphop artist na alikuwa alikuwa anawapaisha wenzie kwa salamu kwenye kipindi cha Dj Jd, udj alijifunzia eastafrica radio.