Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

Ila nowdays naona yuko poa na watu wa mawingu tofauti na kipindi kile paka na panya! Msanii akitaja jina lake kwenye nyimbo basi Clouds hawaipigi!

True wanashirikiana nae vizuri kwani sasa hata matangazo ya isumba lounge kwa maana ya ku-support nayasikia sana hapo peoples Station!
 
Ila nowdays naona yuko poa na watu wa mawingu tofauti na kipindi kile paka na panya! Msanii akitaja jina lake kwenye nyimbo basi Clouds hawaipigi!



Sugu aliimba kuwa huwezi kuzuia mvua ikiamu kunyesha inanyesha...sasa huyu mwana unajua ni mnyamwezi sana hana hiana so clouds wamekubali kuwa hawezi zuia mvua...JD ni kwele hapa town
 
Si swala kumpenda ni swala la kukubali kazi yake!
Nashukuru kama umemkubali maana ndo ukweli ulivyo!

Unabishana nae!
Muulize kama mziki anaujua kwanza!

Kwa Tz no one like John Dillinga bana!

Ndio dj pekee naweza kwenda kudance!
 
sukariTamu said:
Basi nampenda Dj JD...si ndio unavyotaka?

Unabishana nae!
Muulize kama mziki anaujua kwanza!

Kwa Tz no one like John Dillinga bana!

Ndio dj pekee naweza kwenda kudance!

Sure inawezekana nabishana na tu ambaye ameanza kufahamu kuwa kuna muziki wakati wa kuchipukia akina Alli Kiba na Pasha!

Kwa mtu anayejua muziki ni dhahiri atamkubali DJ JD, nimecheza ma-disco ya madj wengi wanaliosifka na wanaaosifika hadi sasa, JD anawafunika katika sehemu moja ambayo tachukua sana muda kupata mtu wa ku-cover hilo gap, anao uwezo mkubwa sana wa kusoma audience yake na kuipagawisha kwa ad-lips (manjonjo ya maneno) wakati wimbo unaendelea au wakati anafanya mixing, anaouwezo wa ku-screach turn table zaidi ya 3 at per na kufanya beat match kitu ambaco hadi sasa nadhani kuna DJ Majizo anamfuatia kwa mbali ingawa bado hana uwezo wa kutumia turn table isipouwa Pioneers ambayo imeuwa simplfied hata asiyejua muziki akikomaa anafanya mixing!

Mbali na hivyo JD anaweza sana ku-dance yaani anaujua muziki na ndio maana huwa anapata mzuka wa hatari anapoona halaiki inacheza kwa namna inayofaa hivyo kuhamasika kufanya kwa uzuri zaidi!

Jamani huyu jamaaa nmemjua kitambo, akiwa ndo anajifunza U-dj kutoka wa uncle wake pale morogoro hotel wkkati huo wakitumia ukumbi wa shimoni!

Hawa akina Peter Moe, sijui steve B ni wanafunzi wa JD ambao hata hvy hawajaweza kufikia kiwango cha mkali wao JD

Peter Moe alifundishwa uDJ na JD akiwa Morogoro na aina Cisco ambao sasa washaachoka na wamehaamia kwenye issue nyingine, Steve bb huyu wakati JD anafanya vipindi zaidi ya vtatu pale East African Radio yeye Steve B ndo kwanza alikuwa na kipindi Kimoja tena J1 kama sikosei saa 12 asbh ambapo alikuwa anapiga flashback, so u can see ni kwa namna gani hawa ma-DJ mnaotaka kuwaliinganisha na JD walivyoachwa mbali!
 
I knw the scenario,
iliikuwa hv:
Clouds walitaka sana DJ JD awe DJ pale Radio ya wafu, kukawa na kutoelewana kwa JD na management ya Radio ya wafu, Management ya radio wa wafu wakaona ili kumnyong'onyesha DJ JD kwa kushirkiana na watu gani sikumbuki vema ndo wakaanda hayo mashindano, kiukweli waliokuwepo pale na wanaoujua muziki jinsi JD alivyo kuwa akicheza na turn table aisee it was amazing, huwezi ukasema Lumuliko Mengele ambaye nyinyi mnamwita Mully B alifanya kitu.

Lkn kwa sababu lengo lilikuwa kumnyong'onyesha JD ingawa kiukweli haikumkatisha tamaa DJ JD ndo kwanza alifanya mambo zaidi ya kujipatia umaarufuu zaidi.

Jamaa ni mkali tubishe aau tukubali!
unajua watu wanashindwa kutofautisha madj wanaojitangaza majina yao sana na wale wanotangazwa kwa kazi zao,JD watu tunamjua kwa kile anachokifanya kwa mikono yake hao wengine wanajipa mapromo tu kwenye media!
 
mkuu kipindi hicho steve b alikuwa hata hajawa dj bali alikuwa rapper,alikuwa anapiga sana simu kwenye kipindi cha weekend party nite show ijumaa na jumamosi, enzi hizo 101.4 ambayo ndio capital radio hivi sasa.Hapo alikuwa mtu mzima anakung'uta ngoma vibaya sana.Mwacheni aitwe legend tu! Wakuu mnakumbuka 'the Powerful 4' hapo mambo club palivyokuwa panachimbika?
 
wadau tulikuwa tunapanga foleni kwenye duka la tapes pale samora karibu na duka la Sony tukisikia Dj Jd's crazy mixing tapes zipo sokoni.Those were the days ambapo mtu ulikuwa unasikiliza radio bila kuhamisha station.
 
mkuu kipindi hicho steve b alikuwa hata hajawa dj bali alikuwa rapper,alikuwa anapiga sana simu kwenye kipindi cha weekend party nite show ijumaa na jumamosi, enzi hizo 101.4 ambayo ndio capital radio hivi sasa.Hapo alikuwa mtu mzima anakung'uta ngoma vibaya sana.Mwacheni aitwe legend tu! Wakuu mnakumbuka 'the Powerful 4' hapo mambo club palivyokuwa panachimbika?

Duh sikuwahi kujua steve B alikuwa bigwa wa salamu kama Chesco wa matunda!
 
Duh sikuwahi kujua steve B alikuwa bigwa wa salamu kama Chesco wa matunda!

ndio hivyo mkuu,steve b alikuwa hiphop artist na alikuwa alikuwa anawapaisha wenzie kwa salamu kwenye kipindi cha Dj Jd, udj alijifunzia eastafrica radio.
 
Ahhhh nyie acheni hakunaga kama DJ JD
 
1095110_10151788771100891_1569796478_n.jpg
 
Back
Top Bottom