Hahaha ujue unachekesha sana....hivi huu uzi una husu nini? Ambaye husikiliza E-FM anaweza kukushangaa...! Hata hivyo mbona hata wamiliki wa vituo vingine nao wanakimbiza tuu kama Majizzo! Lakini ninacho jiuliza unaumia nini?Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Kwani ruge anamiliki radio gani vile?Huyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
Siongelei umiliki. Naongelea ubunifu. Huyo Majizzo mwenyewe radio hiyo siyo yakeKwani ruge anamilikitake io gani vile?
Skide ana ngoma yake inaitwa mbagala ni nomaaa. Sharobaro wa kwanza kuvaa singlendi ya mikono mirefuSkide a.k.a Mtoto wa mama shamte! Ni hatari hata usipo zipiga kwenye radio watazipiga kwenye bodaboda
Nimegundua hujanielewa point. NilichokuwaHahaha ujue no achekesha sana....hivi huu uzi una husu nini? Ambaye husikiliza E-FM anaweza kukushangaa...! Hata hivyo mbona hata wamiliki wa vituo vingine nao wanakimbiza tuu kama Majizzo! Lakini ninacho jiuliza unaumia nini?
Huyo ataendelea kuponda tu wakati mwenzake pochi inavimba, anaingiza mavumba kwa kuipatia untapped market.Mashabiki wengi wa singeli ni wahuni wa mtaani wavuta bangi na wabwia unga.
Majizzo naona kaamua kuwapa shavu "wateja wake" as per mange's dot dot.....
*visingeli ndio mziki unaokuja kasi Tanzania, mark my wordsHuyo Majizzo inabidi muwe mnampa ushauri halisi. Mkiishia kumsifia atajaa kichwa na kujiiona kashafika. Radio yake ilitakiwa ilete changamoto halisi kwa radio zilizopo, lakini hili silioni zaidi hivyo visingeli. Visingeli itafika kipindi vitapoteza umaarufu. Sasa sijui atahamia kwenye reggae? Awe mbunifu apunguze ukilaza
Mkuu umemsahau Shoro Mwamba.Msaga Sumu
Dogo Niga,
Man Fongo,
Dogo Sudi,
Dogo Mkamela
A.k.a mwamba geuMkuu umemsahau Shoro Mwamba.
Ahsanteeeeeeeeeeeee
Hahah siku moja jitoe tu kwa kweli, utaenjoy na roho yakoAisee mi siku moja nitajitoa ufahamu niende show hata moja ya kina Msaga Sumu, kuna dogo MC Sudi (aliimba wimbo wa Naipenda Simba), Man Fongo, Dogo Side Mtoto wa mama Shamte (aliimba kabla hajatoka Dayamondi, na hii ya sasa Huku Kwetu Mbagalaaaa), noma.
Kuna wimbo mmoja siukumbuki kitu kama Mambo ya Mtaa wa Kongo, jamaa kapanda gari kutoka Gongo la Mboto, kufika mtaa wa Kongo akalizwa hadi nauli.