Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #81
Hahaha ujue unachekesha sana....hivi huu uzi una husu nini? Ambaye husikiliza E-FM anaweza kukushangaa...! Hata hivyo mbona hata wamiliki wa vituo vingine nao wanakimbiza tuu kama Majizzo! Lakini ninacho jiuliza unaumia nini?Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.