donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Ngoja ngoja ngoja subiri kwaanza, ni mchafuko wa dhambi dunia sasa inanuka, uchawi gani wa kunirushia paka.....sema weka tenaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wimbo naupenda sana na hunichekesha sana..... anakwambia hainaga ushemeji!
Nimemkumbuka Marehemu Omary Omary na Juma Mpogo,Kuna ile ya shemeji!
MKUU HUU MTINDO MPYA WA UIMBAJI UMEKUWA BURUDANI TOSHA SANAHuu wimbo naupenda sana na hunichekesha sana..... anakwambia hainaga ushemeji!
ANAKUAMBIA TATIZO KWETU MBAGARA,HAPA NYUMBA MBELE JALALASkide a.k.a Mtoto wa mama shamte! Ni hatari hata usipo zipiga kwenye radio watazipiga kwenye bodaboda
Sholo mwamba- mchafuko wa dhambiHahaha hii ya nani na inaitwaje?
Hizi ndio unifanya ni msikilize kila siku kicheko...! Huwa zunauzunisha sana na zinapeleka mbali sana...!Nimemkumbuka Marehemu Omary Omary na Juma Mpogo,
Omary aliimba nyimbo ya kumkumbuka rafiki yake aliyepata ajili pale Mataa ya Buguruni aligongwa na semi lilikuwa likitoka bandarini...Moja nyimbo za mchiriku niliwahi kuipenda kupita maelezo...RIP Omary Omary
Enzi za kampeni, sholo mwamba alinrusha na hiki kitu:View attachment 353220View attachment 353221View attachment 353222
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo imewekwa!
ilikuwa ni vigumu na hakuna uthubutu wa miziki ya mnanda ,visingeli na mchiriku kusikia ukipigwa radioni na sio kwamba hauna mashabiki bali una mashabiki wengi sana sema radio muda mwingine hulazimisha walaji kula hata wasicho kitaka!
Dj Majizzo baada ya kuanzisha kutuo cha E-FM imekuwa kama mkombozi wa miziki yetu ya asili na wamekuwa wakiupa muda wa kutosha kuupromote kiasi kwamba hata walio kuwa hawajui uzuri wake sasa wanaelewa!
Mimi sikuwa mshabiki wa miziki wa namna hii lakini sasa nimekuwa kama teja maana kwakweli nyimbo hizi kuna zenye jumbe nzuri sana kiasi kwamba ukisikiliza una hamasika hakika!
Kupitia DJ majizzo (E-FM) leo hii sasa nyimbo za mnanda,mchiriku na singeli zimeanza kusikika kwenye radio nyingine na wasanii hao wanapata showa kitu ambacho hakikutegemewa!
Leo hii ukisikiliza East africa radio utasikia wakipiga nyimbo hizi na hata Clouds na kwenye matamasha tunaona wasanii wa minanda,mchiriku na visingeli wanapewa show tofauti za zamani wale wa bongo fleva ndio walikuwa wanakula hela peke yao!
Ni wazi kabisa Wasanii wa minanda ,mchiriku na visingeli wanapaswa kumshukuru Majizzo kwani amechangia sana kwenye mafanikio yao na mapinduzi yao!
Mimi nimshukuru tuu Majizzo kwa kuwasaidia vijana hawa na kuupa thamani mziki wao!
Karibuni Wana jamvi!
SHEMEJI JUDI UNANITEGA HA HA HAHongera sana kwake Majay. Hatimaye na mimi uwa nasikiliza hizi nyimbo haswa za Msaga Sumu... Jamani unanitega shemeji unanitega shemeji ni wimbo mzuri