kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
yap ndo mwenywe msaga sumuHivi msaga sumu aliimba wimbo wa lowasa kipindi cha kampeni? Nyimbo yake naipenda mpaka leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap ndo mwenywe msaga sumuHivi msaga sumu aliimba wimbo wa lowasa kipindi cha kampeni? Nyimbo yake naipenda mpaka leo.
Asante......yap ndo mwenywe msaga sumu
mimi nimeshtuka zaidi!Hahaha ujue unachekesha sana....hivi huu uzi una husu nini? Ambaye husikiliza E-FM anaweza kukushangaa...! Hata hivyo mbona hata wamiliki wa vituo vingine nao wanakimbiza tuu kama Majizzo! Lakini ninacho jiuliza unaumia nini?
aseee hujaelewa hata unaongea nini!Nimegundua hujanielewa point. Nilichokuwa
najaribu kusema Majizzo ni mmoja wa vijana
wenye uwezo mkubwa sana kwenye tasnia ya media lakini nahisi hajatumia uwezo wake to the maximum
Kabla ya ujio wa E-FM kuna mambo yalikuwa hayafanywi na radio mfano kusikia wamepiga singeli, mduhara au mchiriku lakini leo hii hizo nyimbo zinasikika kwenye radio. Na wasanii husika wanapata matangazo na show...aseee hujaelewa hata unaongea nini!
na kimsingi huijui E fm acha kutumia nguvu nyiiingi kutaka kuprove kuwa majizzo hajafanya kitu au he is here to perish,hilo utasubiri mnooooo CHANGAMOTO ALIYOLETA HUYU JAMAA KWA HIZO REDIO UNAZOFIKIR NDIO REDIO HUJAIJUA!
NENDA UWAULIZE WAKWAMBIE!
INGIA MTAANI UONE KAMA KUNA MTU ANASIKILIZA HIZO REDIO ZAKO ZA VIPINDI VILE VILE TOKA MWAKA 95!
ChukiHuyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
Una la kusema kwa sasa efm ilipofikiaHuyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Huo wimbo ni noma na soon sholo mwamba ft. Profesa jay video yajaKuna wimbo unaitwa makabila naupenda ile mbaya.
Dunia ya Mungu vitu vya mzungu, haya twende.
Dawa ya moto moto, ukizima Tandale wanawasha moto....
Hiyo ni baadhi ya mistari ya Man Fongo, hawa jamaa acha kabisa.
kuna nyingine inaitwa sembe tembele.Mi yananifurahisha majina yao tu..
Man Fongo...Sholo Mwamba...Dogo Ninja...Msaga Sumu
Ubora wa muziki wao sijauona bado. Ila wanachekesha sana na majina ya nyimbo zao..
Kuna 'ndondo cup' ya Man Fongo feat. Sholo Mwamba
Kuna 'Unanitega shemeji' ya Msaga Sumu feat. Dogo Ninja
Kuna 'Matobo' nayo ya Msaga Sumu
Hawa watu wanachekesha sana.
juzi harusini watu na suti zao na magauni yao ya milioni wanacheza kisingeli!Kabla ya ujio wa E-FM kuna mambo yalikuwa hayafanywi na radio mfano kusikia wamepiga singeli, mduhara au mchiriku lakini leo hii hizo nyimbo zinasikika kwenye radio. Na wasanii husika wanapata matangazo na show...
Sasa nashangaa huyo binti ana kataa nini? Leo hii kila mtu anaujua muziki huu
Mimi mwenyewe nilikuwa si sikilizi kabisa hizo nyimbo lakini nimejikuta nazipenda sana na hiyo ni nguvu ya radio. At least tunaweza kusema tuna mziki wetu...juzi harusini watu na suti zao na magauni yao ya milioni wanacheza kisingeli!
mimi kwangu hayo ni mapinduzi tosha!
mimi mwenyewe nilikuwa kila nikisikia hizo nyimbo naona kama za kihuni na nini,
nafikiri ni vile wengi wetu tulikuwa tunaaamini hivyo singeli ya kivumbi vumbi haipigiki mirefu sijui minanda ya watu fulani hivi!
ilaa daaah hizi nyimbo zina falsafa kubwa hasa,naweza fanyia uzamivu hapa kwa kweli!
natamani hasa!
Kwa wanaofatilia Music Majizzo ni Maarufu, toka Enzi hizo yupo Magic!!!Naona majizo ameanza kuwa maarufu, mleta mada sio zaidi ya hili unalitafita kweli??
sholo mwambaMsaga Sumu
Dogo Niga,
Man Fongo,
Dogo Sudi,
Dogo Mkamela
Hata gigi mahela anakikubali kisingeli...PolePole...chini bahariaaaaa
Babako mwenyewe huwa anasikiliza hizi nyimbo,yeye yuko kundi gani kati ya hayo uliyoyataja?Mashabiki wengi wa singeli ni wahuni wa mtaani wavuta bangi na wabwia unga.
Majizzo naona kaamua kuwapa shavu "wateja wake" as per mange's dot dot.....