Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Karibu redio zote zimekuwa za kizaramo. Watu wanaongea kama cherehani na unaitwa mziki !!
Imenisaidia kutowasikiliza nimehamia gospel !!
 
Hahaha ujue unachekesha sana....hivi huu uzi una husu nini? Ambaye husikiliza E-FM anaweza kukushangaa...! Hata hivyo mbona hata wamiliki wa vituo vingine nao wanakimbiza tuu kama Majizzo! Lakini ninacho jiuliza unaumia nini?
mimi nimeshtuka zaidi!
alitaka abuni nini zaiid ya redio hiiniliyoleta haya mapinduzi!
chaaa !
watu muelewe maisha ya celebrity na sie jamani!
 
Nimegundua hujanielewa point. Nilichokuwa
najaribu kusema Majizzo ni mmoja wa vijana
wenye uwezo mkubwa sana kwenye tasnia ya media lakini nahisi hajatumia uwezo wake to the maximum
aseee hujaelewa hata unaongea nini!
na kimsingi huijui E fm acha kutumia nguvu nyiiingi kutaka kuprove kuwa majizzo hajafanya kitu au he is here to perish,hilo utasubiri mnooooo CHANGAMOTO ALIYOLETA HUYU JAMAA KWA HIZO REDIO UNAZOFIKIR NDIO REDIO HUJAIJUA!
NENDA UWAULIZE WAKWAMBIE!
INGIA MTAANI UONE KAMA KUNA MTU ANASIKILIZA HIZO REDIO ZAKO ZA VIPINDI VILE VILE TOKA MWAKA 95!
 
Kabla ya ujio wa E-FM kuna mambo yalikuwa hayafanywi na radio mfano kusikia wamepiga singeli, mduhara au mchiriku lakini leo hii hizo nyimbo zinasikika kwenye radio. Na wasanii husika wanapata matangazo na show...

Sasa nashangaa huyo binti ana kataa nini? Leo hii kila mtu anaujua muziki huu
 
Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Una la kusema kwa sasa efm ilipofikia
 
Dunia ya Mungu vitu vya mzungu, haya twende.
Dawa ya moto moto, ukizima Tandale wanawasha moto....
Hiyo ni baadhi ya mistari ya Man Fongo, hawa jamaa acha kabisa.
 
Dunia ya Mungu vitu vya mzungu, haya twende.
Dawa ya moto moto, ukizima Tandale wanawasha moto....
Hiyo ni baadhi ya mistari ya Man Fongo, hawa jamaa acha kabisa.

Mi yananifurahisha majina yao tu..

Man Fongo...Sholo Mwamba...Dogo Ninja...Msaga Sumu

Ubora wa muziki wao sijauona bado. Ila wanachekesha sana na majina ya nyimbo zao..

Kuna 'ndondo cup' ya Man Fongo feat. Sholo Mwamba

Kuna 'Unanitega shemeji' ya Msaga Sumu feat. Dogo Ninja

Kuna 'Matobo' nayo ya Msaga Sumu

Hawa watu wanachekesha sana.
 
kuna nyingine inaitwa sembe tembele.
Ila huu mziki kwa hii mikoa ya pwani unatamba sana na wameanza kuifunika hata bongo fleva.
Kuna siku pale Kijitonyama E-FM walikuwa na tamasha, mbongo fleva akipanda jukwaani watu wanshangilia kawaida tu, ila akipanda wa singeli, kwanza watu wanakuja jirani na jukwaa kwa spidi kali sana, halafu msanii akianza kuimba watu wanapandwa na mizuka hadi wanavua soksi ili wapeperushe juu.
Yaani acha kabisa.
 
Kabla ya ujio wa E-FM kuna mambo yalikuwa hayafanywi na radio mfano kusikia wamepiga singeli, mduhara au mchiriku lakini leo hii hizo nyimbo zinasikika kwenye radio. Na wasanii husika wanapata matangazo na show...

Sasa nashangaa huyo binti ana kataa nini? Leo hii kila mtu anaujua muziki huu
juzi harusini watu na suti zao na magauni yao ya milioni wanacheza kisingeli!
mimi kwangu hayo ni mapinduzi tosha!
mimi mwenyewe nilikuwa kila nikisikia hizo nyimbo naona kama za kihuni na nini,
nafikiri ni vile wengi wetu tulikuwa tunaaamini hivyo singeli ya kivumbi vumbi haipigiki mirefu sijui minanda ya watu fulani hivi!
ilaa daaah hizi nyimbo zina falsafa kubwa hasa,naweza fanyia uzamivu hapa kwa kweli!
natamani hasa!
 
Mimi mwenyewe nilikuwa si sikilizi kabisa hizo nyimbo lakini nimejikuta nazipenda sana na hiyo ni nguvu ya radio. At least tunaweza kusema tuna mziki wetu...
 
Nilishuhudia jpili moja huko mbagala ktk tamasha la nitigopesa. Aisee wasanii Wa kuchana walifanya yao, ila umati uliokuwepo hapo si mchezo, lakini walikuwa wakisubiri hiyo mnaita Singeli ....na alikuwa akisubiliwa Huyo Mnanwita Hainaga ushemeji...tunakulaga....ManFongo....aisee mda wake ulifika ....ni hatareee alifunika , mahala pale pakawa vumbi tu jinsi halaiki ile ilivyo cheza miondoko hiyo....duh, hapo sasa nikashuhudia vibaka , mateja wakiiba Live!!! Ila police walijitahidi kufanya doria , ikafika mahali mziki umekolea Manfongo anapagawisha jukwaani....kule chini ni fujo kidansi dansi tu, Mda mfupi askari wakawa wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya ile Nyomi ya watu....duh pakawa kama vita yenye burudani....hii yote ni kuwa pale kati palikuwa na fujo za watoto Wa kitaaa kutoka mbagala Tmk, tandika wakiwa na bifu zao za mtaani....Huo ndo mziki Wa Singeli, Tahadhari ukiwa na heshima zako usisogee kwenye mkusanyiko Wa wazi Wa Muziki huu..!
 
Mashabiki wengi wa singeli ni wahuni wa mtaani wavuta bangi na wabwia unga.
Majizzo naona kaamua kuwapa shavu "wateja wake" as per mange's dot dot.....
Babako mwenyewe huwa anasikiliza hizi nyimbo,yeye yuko kundi gani kati ya hayo uliyoyataja?
 
Back
Top Bottom