Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iyo ndo ilikuwa nzuri sana aseee jamaa walifanya kutafsir poa.sema ni kwasababu kila mtu aligeiwa uhusika tofaut na ao jamaa wa kutafsir akina dj anafanya kazi yote yeye mwenyewKama ile tamthiria ya Kichina "Mao dodo na wakwe zake nilijua ni wachina wanaongea kibongo.
Jamaa anajua sanaaa sema kuna pumba wanajifanya wajuaje kumbe hakuna kitu. Sema wao ndio hawajui kingereza. Halafu wabongo ni wakosoaji wazuri sanaaaa ila wengi wao bogaskwa sasa Afrika ya Mashariki na ya Kati hakuna DJ bora kama Murphy DJ jamaa anajua what we need is not only English tunahitaji mtu anayejua kunogesha Movie
Una ushahidi au unaropokaropoka tu kisoroHahaaa joo imekutachii eeeh
Wale kwanza kwenye pisi za cd wanatia ngada ndani na gomba...
acha roho mbaya mayala ww mbn ma DJ wa arusha wanajua tuu dj maphy yuko vzr na lugha anaijua mmekaa ki wivu wivu tuu na ubaguzi mak*ma nyie.....wachaga wachaga wameakosea nini wachaga kama mnahasira sana nendeni waka wa f*le bac wakayatatue malinda yenu ayo machoko nyie..Upon sawa kwa asilimia 100 hawa wajinga Hamna kitu uongeaji wao wa jinsi ya kutafsiri wanaongea km wamekunjwa uji wa magimbi coz kwanza kutafsiri ni kipaji km vipaji vingne kuna maDj wakitafsiri wanavutia mpaka unainjoi hata kama movie mbaya kuna mtu huyu wa kuitwa (Dj blaki) au ukipenda waeza kumwita blaki for shizzo Huyu kiumbe ni hatari nyingne na ndio mwanzilishi wa kutafsiri season,hao wachaga wakauze magenge tu kazi imewashinda.salute sana kwa madj hawa Dj mark&mark.
acha roho mbaya k*ma ww we unajua..Linakera bwana kutafsiri hajui anaharibu maana ya muvi..
BTW anisamehe tu sina jinsi..
UtaolewaNdio..
Hunizid mm... Yan nikisikia tu sauti ya anayetasfiri najisikia ovyoMm sijui ushamba sipendi hizi movie za kutafsili yaan zimenishinda siwezi kabisa kuangalia
tupo sawa mkuuHunizid mm... Yan nikisikia tu sauti ya anayetasfiri najisikia ovyo
Vipi kuhusu Ommy DJ mkuu, anajitahidi?Aiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.
Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡
Vile kuhusu ile series ya kichina ya my destine to love you, amejitahidi au nayo kaikosea. Jamani mpeni haki yake huyu mtu anajitahidi sanaLinakera bwana kutafsiri hajui anaharibu maana ya muvi..
BTW anisamehe tu sina jinsi..
[emoji106] [emoji106] [emoji106] swadaktakwa sasa Afrika ya Mashariki na ya Kati hakuna DJ bora kama Murphy DJ jamaa anajua what we need is not only English tunahitaji mtu anayejua kunogesha Movie