Dj movies wa Arusha acheni hizo kazi hamuziwezi

Dj movies wa Arusha acheni hizo kazi hamuziwezi

Aiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.

Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡
Haya Lete Za Kwako Tuzione!!!!?Kama Hauna Punguza Nyege Na Bongo Movie wenzio Mtaliwa Tako Na Morombooo Balaa Buluu "
 
Yupo mkenya anaitwa dj afro full kipaji tz nzima hakuna
 
Haa haa aisee nkimbuka huyu wa acheche dhaaa
Mweke hapo dj mark kama
Ulikua na njaa inaisha yan
 
Hahaaa joo imekutachii eeeh
Wale kwanza kwenye pisi za cd wanatia ngada ndani na gomba...
Was***nge n wengi xana....we n mmoja wao...ngada unaijua ww....punguza kuwashwaa...wanaolewaga watu ka nyie kule kwetu...hatupend maneno maneno
 
Upon sawa kwa asilimia 100 hawa wajinga Hamna kitu uongeaji wao wa jinsi ya kutafsiri wanaongea km wamekunjwa uji wa magimbi coz kwanza kutafsiri ni kipaji km vipaji vingne kuna maDj wakitafsiri wanavutia mpaka unainjoi hata kama movie mbaya kuna mtu huyu wa kuitwa (Dj blaki) au ukipenda waeza kumwita blaki for shizzo Huyu kiumbe ni hatari nyingne na ndio mwanzilishi wa kutafsiri season,hao wachaga wakauze magenge tu kazi imewashinda.salute sana kwa madj hawa Dj mark&mark.

!
!
Season ndio kitu gani
 
Aiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.

Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡
Kasome hata English course ili uwe unajitafsria mwenyewe; acha hao madj wajitafutie ugali
 
Back
Top Bottom