Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Acha Umbwira utaolewaAiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.
Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡