Dj movies wa Arusha acheni hizo kazi hamuziwezi

Dj movies wa Arusha acheni hizo kazi hamuziwezi

Aiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.

Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡
Acha Umbwira utaolewa
 
Kumbe mnaangaliaga zilizotafsiriwa? Usilalamike maana umekipenda wenyewe
 
kiukweli bongo nzima hakuna wa2 wanao tafsiri muvi wengi wana jaribu tu kuzielezea af inategemea na eneo ulipo na lafudhi yenu mfano arusha wengi wamezoea lafudhi za muphy d , ommy na master kama best djs uezi lazmisha mtu askilize archichi uyo mbana pua anaskilizwa na wadanapua wenzake sawa ss 2achien wagumu wetu mazafanta u;
 
Ila yuko bomba zaid ya Ma dj wa Arusha. Kuna mtu alikua ana like
For u buda.......hatufanani ktk matamanio na kuridhika...naona umeamua kukufua vilivyo kwisha kufa.
 
Back
Top Bottom