Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji818] [emoji818]Ulitusomesha wewe?
Kila mtu na upenzi wake..
rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Yaaani nakereka utakuta umeenda salon nzuri wadada classic utakuta wanatizama hizo movie nachukia hadi basikumbe bado kuna watu wanaangalia movie zilizotafsiriwa kiswahili
uwe unaenda CD zako za akina Angelina Jolie ukifika tu unawapa waekeYaaani nakereka utakuta umeenda salon nzuri wadada classic utakuta wanatizama hizo movie nachukia hadi basi
uwe unaenda CD zako za akina Angelina Jolie ukifika tu unawapa waeke
Haya Lete Za Kwako Tuzione!!!!?Kama Hauna Punguza Nyege Na Bongo Movie wenzio Mtaliwa Tako Na Morombooo Balaa Buluu "Aiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.
Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡
awaache watu wafanye yao
Yafsir yako bas duanziiiii weeYaaani nakereka utakuta umeenda salon nzuri wadada classic utakuta wanatizama hizo movie nachukia hadi basi
Pole na hulka yako cjui umeandika madudu gani hapoYafsir yako bas duanziiiii wee
Ttz,la dj afro ukikuyu mwingiYupo mkenya anaitwa dj afro full kipaji tz nzima hakuna
Was***nge n wengi xana....we n mmoja wao...ngada unaijua ww....punguza kuwashwaa...wanaolewaga watu ka nyie kule kwetu...hatupend maneno manenoHahaaa joo imekutachii eeeh
Wale kwanza kwenye pisi za cd wanatia ngada ndani na gomba...
Hiyo ndio tabia njema kakaNishaapa kutomjibu mtu akiniudhi so nawapotezea tu..
Upon sawa kwa asilimia 100 hawa wajinga Hamna kitu uongeaji wao wa jinsi ya kutafsiri wanaongea km wamekunjwa uji wa magimbi coz kwanza kutafsiri ni kipaji km vipaji vingne kuna maDj wakitafsiri wanavutia mpaka unainjoi hata kama movie mbaya kuna mtu huyu wa kuitwa (Dj blaki) au ukipenda waeza kumwita blaki for shizzo Huyu kiumbe ni hatari nyingne na ndio mwanzilishi wa kutafsiri season,hao wachaga wakauze magenge tu kazi imewashinda.salute sana kwa madj hawa Dj mark&mark.
Kasome hata English course ili uwe unajitafsria mwenyewe; acha hao madj wajitafutie ugaliAiseee nyie ma dj mnaotafasiri muvi kutoka Arusha acheni tu hizo kazi maana kingereza hamjui kazi kuweka maneno na rafudhi ya ki ngada kwenye muvi mwishoni watoto wanayaiga mtaani.
Kuna hili limoja linajiita Murphy dj kutoka full respect familly ndio halijui kabisa...
Kazi kupataja kwa Muromboo tu.
waachieni watoto wa Acheche na King ndio wanaweza.
Kama imekutachi ruhusa kumwaga Gwanji yako..
Mondray♡♡