Naenda zimbabweJamaa analiwa!
Sijui muulize mwenyeweJamaa analiwa!
mkuu mpaka hapo si ushajua ni mtu wa aina gani wala haina haja ya kujisumbua.Huwa anaendesha interview Na mademu nilimfuata kumuomba interview akaniuliza eti we ni ke!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mwenzio labda anatoa rushwa ya ngono
DuhMwenzio labda anatoa rushwa ya ngono
Hujawahi kuombwa rushwa ya ngono?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na nani?Hujawahi kuombwa rushwa ya ngono?
Hahaaaaaaa Jf kuna vituko Hapana πππ kumbe ulinyimwa interview au usije ikawa una Id Mbili unajipa promo MwenyeweHuwa anaendesha interview Na mademu nilimfuata kumuomba interview akaniuliza eti we ni ke!