DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ Sepetu naona umekuwa tishio hadi unafunguliwa uzi..songa mbele mkuu, but kama yupo atakayechangia kinachokufaa kukitendea kazi pia ukichukue kimya kimya kitakuimarisha.
Siyo kila anayekusema vibaya ni adui..hapana
 
Yap mkuu Mimi huwa naheshimu kila mtu ndio maana huwa sina lugha isiyofaa!
 
Back
Top Bottom