DJ sepetu anapendelewa sana!

DJ sepetu anapendelewa sana!

Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata kabani ka siku tatu!

Dah!
Unalalamikia kisichostahili kulalamikiwa... APIGWE BAN ASIPIGWE .. HAIONDOI WALA KUONGEZA CHOCHOTE KWENYE POST ZAKO...

We tulia, kama anakukera wapo wanaofurahishwa naye...
 
Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata kabani ka siku tatu!

Dah!
Ndio nani tena huyo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Soon nitaanza kuwachunguza kimya kimya huyu mleta mada na huyo Wema Sepetu sijui DJ sepetu nione kama multiple id's au laah.
 
Hance ni uncle angu,alafu kwani nimemsifiaje?yeye amesema atafanya uchunguzi kuhusu ID yako na huyu B40

Kwani unaogopa nini?
Haya baby nikiongea itakuwa shida tu! Mimi napata wivu unajua navyokupenda lakini...
 
Back
Top Bottom